Kampaundi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
 
==Tofauti ya kampaundi na mchnganyiko wa elementi==
Kampaundi ni tofauti na mchanganyiko wa elementi. Kwa mfano mchanganyiko wa atomi mbili za [[hidrojeni]] na atomi moja ya [[oksijeni]] ni gesi ya [[oksihidrojeni]] inayowaka rahisi kwa njia ya mlipuko. Mchanganyiko huu si thabiti. Lakini kama atomi zilezile zaingia katika muungo kemia zaunda dutu mpya ya H<sup>2</sup>O au [[maji]].
 
Kampaundi hupatikana kwa [[hali maada]] mbalimbali kama vile [[gesi]], [[mango]] au [[kiowevu]].