Kiido : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza kk:Идо
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Flag of Ido.svg||200px|right|thumb|Bandera ya Kiido]]
 
'''Kiido''' ni [[lugha ya kupangwa]]. Inafanana sana na [[Kiesperanto]], lakini haizungumzwi na watu wengi kama Kiesperanto.
 
=== Serufi ===
[[Nomino]] (majina) zote zinahitimu kwa kiambishi tawali -o, kwa mfano "arbo" (mti). Wingi wa nomino unahitimu kwa -i (arbi = miti).
 
[[Kivumishi|Vivumishi]] vinahitimu kwa kiambishi tawali -a, kwa mfano "alta" (-refu).
 
Vitenzi vina viambishi tamati mbalimbali:
* -ar inatumika kwa vitenzi-jina (kwa mfano "facar" = "kufanya")
* -as inatumika kwa njeo ya wakati uliopo (kwa mfano "me facas" = "ninafanya"
* -is inatumika kwa njeo ya wakati uliopita (kwa mfano "me facas" = "nilifanya" au "nimefanya")
* -os inatumika kwa njeo ya wakati ujao (kwa mfano "me facos" = "nitafanya")
* -us inatumika kwa hali a masharti (kwa mfano "me facus" = "ningefanya")
* -ez inatumika kwa hali ya kuamuru (kwa mfano "facez!" = "fanya!"; "il facez" = "afanye")
 
== Viungo vya nje ==