Ngoma (muziki) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
dNo edit summary
Mstari 1:
[[imageImage:Djembe.jpg|thumb|250px|Ngoma (''djembe'')]]
 
'''Ngoma''' inaoweza kumaanisha [[muziki]] unaochezwana na [[ala ya muziki]] inayoitwa [[ngoma (ala ya muziki)|ngoma]] pia.
 
Ngoma ni muziki na lugha ya pekee inayotumika kwa kuelezea [[utamaduni]] na [[historia]] ya nchi fulani, tunatumia lugha ya ngoma katika kuelezea hali mbalimbali za maisha yetu, kama vile huzuni, furaha, mapenzi, kutia moyo, vitisho, shukurani na ushindi.
 
Babu zetu walikuwa na lugha hii ya ngoma ambayo tumeirithi kwa mapokeo. Ngoma pia ilitumika na jamii mbalimbali kama njia ya kuita watu kwenye kusanyiko muhimu, kama vile vita, mikutano nk. ilipigwa kwa milio tofauti kulingana na tukio.
 
Ngoma pia ilitumika na jamii mbalimbali kama njia ya kuita watu kwenye kusanyiko muhimu, kama vile vita, mikutano nk. ilipigwa kwa milio tofauti kulingana na tukio.
{{mbegu}}
 
[[Category:Muziki]]