Blandina Changula : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Wanigeria: herufi kubwa ---> ndogo, replaced: Waigizaji Filamu wa Tanzania → Waigizaji filamu wa Tanzania using AWB
Mstari 22:
Blandina alipata [[elimu]] ya msingi katika shule ya [[Bugoyi]] [[mwaka]] [[1990]] hadi [[1997]] na kujiunga katika shule ya sekondari ya kutwa ya [[Buluba]] iliyopo [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1998]] hadi [[1999]].
 
Akiwa kidato cha pili alihamishiwa katika [[shule]] ya bweni ya [[Kanawa]] hukohuko mkoani [[Shinyanga]] [[mwaka]] [[1999]] hadi [[2000]] na [[mwaka]] huo huo baada ya kuingia kidato cha tatu akahamishiwa tena jijini [[Dar es Salaam]] katika [[shule]] ya Greens iliyokuwa maeneo ya [[Temeke]] kabla ya kuhamishiwa [[Ubungo]] shule ambayo alimalizia kidato cha nne hiyo ilikuwa mnamo [[mwaka]] [[2001]].
 
Blandina Changula anatokea kundi la [[Kaole Sanaa Group]], ni kundi ambalo linafahamika sana nchini Tanzania kwa kutoa nyota wengi wa uigizaji, Blandina nae ni mmoja kati ya nyota
hao, wengine ni [[Steven Kanumba]], [[Vincent Kigosi]] ( Mr Ray ), Tea na wengine wengi tu kutoka [[Kaole Sanaa Group]].
 
== Baadhi ya Filamu Alizoigiza ==