Metorolojia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza fo:Veðurfrøði
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:WOA05 sea-surf TMP AYool.png|thumb|250px|Ramani inayoonyesha halijoto wastani ya uso wa bahari. <small>Ramani za aina hii ni tokeo ya miaka mingi ya vipimo na pia msaada muhimu kwa kuelewa utaratibu wa mabadiliko ya halihewa kama kutokea kwa dhoruba au kunyesha au kutonyesha kwa mvua</small>]]
'''Metorolojia''' ''([[Kigir.]] μετεωρολογία meteorologia kuwa [[kiing.]] meteorology)'' ni [[sayansi]] inayoshughulika habari za [[angahewa]], [[tabianchi]] na [[halihewa]] na hasa [[fizikia]] pamoja na [[kemia]] husika.
 
== Tabia za angahewa ==