Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 20:
*mabadiliko katika kiasi cha [[gesi joto]] katika angahewa yanaathiri kiwango cha nichati ya jua kinachofyonzwa na dunia na hivyo kiwango cha [[kupanda kwa halijoto duniani]] au kinyume.
*kuongezeka kwa vumbi hewani kwa mfano kutoka milipuko mikubwa ya [[volkeno]] au pigo za [[meteoriti]] kubwa sana kunaweza kusababisha kupungukiwa kwa nishati ya jua inayofikia uso wa dunia hivyo kuleta kupoa kwa halijoto.
[[Picha:MonthlyMeanT.gif|350px|thumbnail|right|Wastani ya halijoto duniani kwa kila mwezi kwa kipindi cha miaka 30 kuanzia 1961 hadi 1990 ]]
==Aina za tabianchi==
Tabianchi ya eneo huitwa kwa majina kama vile wastani, yabisi, baridi, tundra, tropiki, kiikweta, kimediterania, na kadhalika.
Mpangilio unaotumiwa sana ni ile iliyoanzishwa na [[Vladimir Koeppen]] mwenye kanda tano:
* A: tabianchi ya [[tropiki]]
* B: tabianchi yabisi
* C: tabianchi fufutende ya latitudo za kati
* D: tabianchi baridi ya latitudo za kati
* E: tabianchi ya nchani
 
Hizi kanda tano hugawiwa kwa vikundi vya ngazi ya pili kama vile [[msitu wa mvua]], [[monsuni]], [[savana]], nusutropiki, kibara nyevu, kibahari, kimediteranea, nusuaktiki, tundra, barafu ya nchani, jangwa na kadhalika.
 
The climate of a place is given names such as [[Temperate]], [[Arid]], Cold, Dry, [[Tundra]], [[Tropical]], Equatorial, Mediterranean, [[Savanna]], etc.
 
== Subarctic ==