Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 50:
Maeneo penye tabianchi yabisi yapo hasa katika sehemu za [[nusutropiki]] zisizofikiwa na upepo wa pasati lakini kuna tabianchi yabisi pia penginepo kwa mfano kwenye milima ya juu au karibu na ncha za dunia.
[[Picha:Klimagürtel-der-erde-gemäßigte-zone.png|250px|thumbnail|right|Tabianchi fufutende a) ya wastani b) ya kupoa]]
 
===C: tabianchiTabianchi fufutende ya latitudo za kati===
Kanda za tabianchi hii hupatikana kati ya kanda la nusutropiki (lenye halijoto wastani katika mwaka juu ya 20°C) na kanda la baridi (lenye halijoti wastani chini ya 10°C wakati wa mwezi wa joto zaidi).
 
Aina mbili zinatofautishwa (zenye ngazi zaidi ndani yao) ambazo ni tabianchi fuvutende ya wastani na tabianchi fuvutende ya kupoa. Hizi za kupoa huelezwa kuwa na halijoto ya wastani chini ya -1°C wakati wa mwezi baridi na juu ya 10°C wakati wa mwezi wa joto zaidi.
 
Uoto asilia katika kanda hizi ni hasa misitu; ndani ya bara kuna pia maeneo ya manyasi na pia nusujangwa. Usimbishaji hutokea miezi yote ila tu ni zaidi karibu na bahari inaweeza kupungua mbali na bahari.
 
== Marejeo ==