Vipimo sanifu vya kimataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza ky:СИ өлчөө системи
No edit summary
Mstari 1:
'''Vipimo sanifu vya kimataifa''' ([[Kifar.]]: '''Système International d'unités'''; kifupi chake: '''SI''') ni utaratibu uliokubaliwa kimataifa kwa kuwa na [[kizio|vizio]] vya upimaji vya pamoja duniani. Maendeleo na matumizi ya utaratibu huo huangaliwa na [[Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo]].
 
Msingi wa utaratibu huu ni [[mita]]. Vizio vingine ni vya urefu ([[mita]]), masi ([[kilogramu]]), wakati ([[sekondi]]), mkondo wa umeme ([[ampea]]), halijoto ([[kelvini]]), kanieneo ([[paskali]]), kiasi cha dutu ([[moli]]), mwangaza au ukalifu nunurikaji ([[kandela]]).
 
[[Kipimo|Vipimo]] hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.