Kanieneo angahewa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
[[File:Plastic bottle at 14000 feet, 9000 feet and 1000 feet, sealed at 14000 feet.png|thumb|upright|Chupa kilichovunjwa na kanieneo angahewa kwenye uwiano wa bahari; ilijaa hewa na kufungwa katika kimo cha mita 4,500 [[juu ya UB]] ambako kanieneo ni ndogo.]]
==Kanieneo angahewa na viumbehai==
Viumbe vyote hutegemea kanieneo jinsi ilivyo kawaida kwao. Kimsingi mwili wa binadamu inaweza kuathiriwa kama chupa cha plastiki katika picha hapo upande wa kulia. Tunavumilia [[Kanieneo angahewa|kanieneo ya kawaida ya angahewa]] kwa sababu kiowevu vya seli zetu na damu kina shinikizo ya kulingana.
Kama tunapanda sana juu tuko hatarini ya kulipuka kwa sababu shindikizo ya angahewa inapungua kwa hiyo shindikizo ya ndani ya miili yetu inaweza kupasua ngozi yetu. Lakini hata kabla kufika juu vile kunatokea matatizo kwa sababu uwezo wa damu kushika na kubeba oksijeni inapungua pia na hjii ni sababu ya kwamba ndege kubwa zinazotembea katika kimo cha mita 11.000 au zaidi huwa na chumba ambako kanieneo angahewani inaongezwa kwa njia ya mitambo. Ndege zinazofikia juu zaidi au marubani wa roketi ni lazima watu wawe na nguo zinazotunza shinikizo ndani.