Euphrase Kezilahabi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: de:Euphrase Kezilahabi
+ maisha
Mstari 1:
'''Euphrase Kezilahabi''' (amezaliwa [[13 Aprili]], [[1944]] katika kijiji cha Namagondo kisiwani [[Ukerewe]]) ni mwandishi kutoka nchi ya [[Tanzania]]. Lugha yake ya kwanza ni [[Kikerewe]] lakini huandika hasa kwa [[Kiswahili]] ambacho amekipanua kwa kutumia mitindo ya lugha yake ya asili. Baadhi ya maandiko yake ni:
 
==Maisha==
Kezilahabi alipata [[B.A.]] yake kwenye [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] mnamo mwaka 1970 akawa mwalimu na kufundisha katika shule mbalimbali za Tanzania. Baadaye alirudi chuoni kwa masomo ya juu na baadaye kufundisha hapa baada ya kumaliza [[M.A.]]. Akaendelea na masomo ya [[Ph.D.]] huko [[Marekani]] kwenye Chuo Kikuu cha [[Wisconsin]] Madison alipotoa [[tasinifu]] yake mwaka 1985 kuhusu "African Philosophy and the Problem of Literary Interpretation". Sasa (mwaka 2012) ni profesa wa lugha za Kiafrika kwenye Chuo Kikuu cha Botswana.0
 
==Maandiko==
Baadhi ya maandiko yake ni:
 
Riwaya:
Line 16 ⟶ 22:
Tamthiliya:
*[[Kaptula la Marx]] (1978/1999)
 
==Viungo vya Nje==
*[http://www.britannica.com/EBchecked/topic/315981/Euphrase-Kezilahabi Euphrase Kezilahabi kwenye Britannica online]
* [http://www.nelk-frankfurt.de/uploads/Euphrase-Kezilahabi-Profile.pdf Profile of Euphrase Kezilahabi]
* [http://matondo.blogspot.de/2010/01/euphrase-kezilahabi-kaptula-la-marx-na.html Blogu juu ya tamthiliya yake "Kaptula la Marx]
 
{{DEFAULTSORT:Kezilahabi, Euphrase}}