Tofauti kati ya marekesbisho "Shaba"

8 bytes added ,  miaka 8 iliyopita
no edit summary
Tabia muhimu ya shaba ni uwezo wake wa kupitisha umeme. Hivyo imekuwa msingi wa teknolojia yote ya umeme hasa nyaya za kila aina.
 
Siku hizi shaba huchimbwa hasa katika nchi za [[Chile]] (Chuquicamata), [[Marekani]], [[Urusi]], [[ZambiaAfrica ya Kati]] ("Copperbelt" - kanda la shaba), [[Congo-Zaire]], [[Zambia]], [[Kanada]] na [[Peru]].
 
<gallery>
Anonymous user