Buganivilia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Nyongeza matini |
Masahihisho |
||
Mstari 15:
'''''Buganivilia''''' ni [[jenasi]] ya [[mmea|mimea]] inayotoa [[ua|maua]] yenye asili yake katika [[Bara la Amerika ya Kusini]] kuanzia [[Brazili]] na kusonga magharibi kuelekea [[Peru]] na kusini hadi [[Argentina]] kusini (Mkoa wa Chubut). Mimea hii ina maua meupe madogo. Sehemu za mimea zenye rangi kali si maua ya kweli lakini aina ya [[jani|majani]] maalum yanayoitwa [[braktea]]. Yanahami maua.
Waandishi tofauti wanakubali kuwa kuna kati ya spishi 4 na 18
==Picha==
<gallery>
Image:Red Bougainvillea in Malaysia.jpg|
Image:Starr_030418-0058_Bougainvillea_spectabilis.jpg|''Bougainvillea spectabilis''
Image:Bougainvillea close.jpg|
Image:Bougainvillea-Flowers-KayEss-1.jpeg|
Image:RedOrangeBougainvillea.jpg|Mjini [[Tel Aviv]], Uisraeli
Image:Bougainvillea_San_Diego.jpg|Buganivilia katika barabara kuu ya mji wa California
Line 29 ⟶ 28:
Image:Bougainvillea-3colors.jpg.jpg|Rangi tatu za buganivilia mjini Los Angleles
Image:Bouganvelia.JPG|Buganivilia katika eneo la Kolkata India
File:Buganvilia.jpg|
</gallery>
|