Euphrase Kezilahabi : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
==Maisha==
Euphrase Kezilahabi alizaliwa 13 Aprili 1944 huko Namagondo kisiwani Ukerewe kilichopo ndani ya Ziwa Viktoria. Babake Vincent
Kezilahabi alipata [[B.A.]] yake kwenye [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] mnamo mwaka 1970 akawa mwalimu na kufundisha katika shule mbalimbali za Tanzania. Baadaye alirudi chuoni kwa masomo ya juu na baadaye kufundisha hapa baada ya kumaliza [[M.A.]]. Akaendelea na masomo ya [[Ph.D.]] huko [[Marekani]] kwenye Chuo Kikuu cha [[Wisconsin]] Madison alipotoa [[tasinifu]] yake mwaka 1985 kuhusu "African Philosophy and the Problem of Literary Interpretation". Sasa (mwaka 2012) ni profesa wa lugha za Kiafrika kwenye Chuo Kikuu cha Botswana.0▼
Tilibuzya alikuwa msimamizi wa kijiji na Euphrase alikuwa na ndugu 10 yaani wavulana 5 na wasichana 5. Alisoma shule ya msingi ya [[Nakasayenge]] halafu tangu 1957 Seminari ya kikatoliki ya Nyegezi aliyomaliza mwaka 1966. <ref>Noronha analeta habari kuhusu maisha yake tangu utotoni hadi kuwa mhadhiri, mengine katika "profile" (taz. chini)</ref>
1967 alijiandiskisha kwenye [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]] akasoma ualimu na fasihi hadi digrii ya [[B.A.]] katika mwaka 1970. Mwaka uleule 1970 akawa mwalimu wa shule ya sekondari [[Mzumbe]] ([[Morogoro]]) halafu kwenye shule ya sekondari ya Mkwawa (Iringa).
▲
==Maandiko==
Line 26 ⟶ 31:
*[http://www.britannica.com/EBchecked/topic/315981/Euphrase-Kezilahabi Euphrase Kezilahabi kwenye Britannica online]
* [http://www.nelk-frankfurt.de/uploads/Euphrase-Kezilahabi-Profile.pdf Profile of Euphrase Kezilahabi]
* [http://www.swahili-literatur.at/nacherzaehlungen/rosamistika.pdf Lourenco Noronha, Euphrase Kezilahabi 1971 Rosa Mistika (kwa lugha ya Kijerumani), Taasisi ya Taaluma ya Bara la Afrika, Chuo Kikuu cha Vienna, Mei 2009 (iliangaliwa Januari 2013)
* [http://matondo.blogspot.de/2010/01/euphrase-kezilahabi-kaptula-la-marx-na.html Blogu juu ya tamthiliya yake "Kaptula la Marx]
|