Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 50:
Maeneo penye tabianchi yabisi yapo hasa katika sehemu za [[nusutropiki]] zisizofikiwa na upepo wa pasati lakini kuna tabianchi yabisi pia penginepo kwa mfano kwenye milima ya juu au karibu na ncha za dunia.
 
[[Picha:Klimagürtel-der-erde-gemäßigte-zone.png|250px|thumbnail|right|Tabianchi fufutendeza latitudo za kati a) ya wastanifufutende b) ya kupoabaridi]]
===C: Tabianchi fufutende ya latitudo za kati===
Kanda za tabianchi hii hupatikana kati ya kanda la nusutropiki (lenye halijoto wastani katika mwaka juu ya 20°C) na kanda la baridi (lenye halijoti wastani chini ya 10°C wakati wa mwezi wa joto zaidi).
 
AinaKwa mbilihiyo zinatofautishwakuna (zenyehalijoto ngaziza zaidiwastani ndanijuu yao)ya ambazo10 ni°C tabianchikatika fuvutendemiezi ya wastanijoto nazaidi tabianchi(katika fuvutendenusutufe ya kupoa.kaskazini HiziAprili zahadi kupoa huelezwa kuwaSeptemba) na halijoto ya wastani chinibaina ya -1−3 °C wakati wa mwezi baridi na juu18 ya 10°C wakati wa mwezi wa jotobaridi zaidi.
 
Uoto asilia katika kanda hizi ni hasa misitu; ndani ya bara kuna pia maeneo ya manyasi na pia nusujangwa. Usimbishaji hutokea miezi yote ila tu ni zaidi karibu na bahari inaweezainaweza kupungua mbali na bahari.
 
Hapo kuna maeneo tofauti kama yafuatayo:
 
* '''Tabianchi ya [[kimediteranea]] au ya [[nusutropiki]] na majirajoto kavu:''' aina hii hutokea kwa kawaida upande wa magharibi ya bara fulani baina latitudo za 30° hadi 45°. Majirabaridi huwa poa na mvua nyingi; majirajoto kuna halihewa yabisi na joto kutokana na kipaumbele wa [[kanieneo angahewa]] ya juu isipokuwa katika maeneo ya pwani ambako mkondo baridi wa bahari inaweza kupoza joto na kuleta ukungu bila mvua.
 
Mifano ni [[Cape Town]] katika [[Afrika Kusini]], [[Yerusalemu]] katika [[Mashariki ya Kati]], [[Los Angeles]] na [[San Francisco]] katika [[Marekani]].
 
* '''Tabianchi nyevu ya nusutropiki''' hutokea zaidi ndani ya bara au kwenye pwani za mashariki, hasahasa katika digrii za latitudo 30°. Tofauti na tabia za kimediteranea majirajoto kuna unyevuanga juu. Pale ambako tabianchi hizi zinatokea katika [[Asia ya Mashariki]] majirabaridi ni yabisi na baridi zaidi kutokana na kanieneo angahewa ya juu kutoka Siberia lakini majirajoto nyevu sana kutokana na athira ya monsuni za Asia ya Kusini Magharibi.
 
 
 
===D: Tabianchi baridi ya latitudo za kati===
Hizi za kupoa huelezwa kuwa na halijoto ya wastani chini ya -1°C wakati wa mwezi baridi na juu ya 10°C wakati wa mwezi wa joto zaidi.
 
===E: Tabianchi ya nchani===
 
Uoto asilia katika kanda hizi ni hasa misitu; ndani ya bara kuna pia maeneo ya manyasi na pia nusujangwa. Usimbishaji hutokea miezi yote ila tu ni zaidi karibu na bahari inaweeza kupungua mbali na bahari.
 
== Marejeo ==