Mkondo wa Ghuba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza pa:ਗਲਫ਼ ਸਟ੍ਰੀਮ
+tabianchi
Mstari 10:
Mkondo ya Ghuba husukuma katika kila sekondi milioni 30 - 80 [[m³]] za maji - ni mara mia jumla ya mikondo ya mito yote duniani. Mkondo una upana wa 80–150 [[km]] na kina cha 800–1200 m. Mwendo wake ni hadi 2 [[m/s]].
 
== Athari juukwa ya hali ya hewatabianchi ya Ulaya ==
Mkondo wa Ghuba husukuma maji ya vuguvugu kaskazini hivyo ni kama jiko kwa ajili ya [[hali ya hewatabianchi]] ya Ulaya ya Kaskazini. Kwa njia hi hali ya hewatabianchi ya Ulaya ya kaskazini na magharibi si baridi jinsi ilivyo katika [[Amerika]] kwenye [[latitudo]] ileile. Kwa mfano mahalilatitudo paya [[Norwei]] inalingana na sehemu za kaskazini za [[Kanada]] lakini hali ya hewatabianchi ni ya kupoa hakuna baridi kali hivi Norwei kamajinsi ilivyo Kanada ya kaskazini. Maji ya mkondo wa ghuba husababisha mabandari ya Ulaya ya Kazkazini hadi [[Murmansk]] kuwa bila barafu hata wakati wa baridi.
 
Hali ya hewaTabianchi ya Ulaya inaruhusu kustawi kwa mazao ya kutosha ya kulisha watu wengi - wakati huohuo maeneo ya Kanada katika latitudo ileile hazina watu kutokana na vipindi virefu vya baridi na muda mfupi wa kustawi wa uoto. Katika Kanada kwenye latitudo ya 60 hakuna miti tena kwa sababu ya kipindi kirefu cha baridi - katika Ulaya miji yamikubwa kama [[Sankt Petersburg]], [[Helsinki]], [[Stockholm]] na [[Oslo]] iko kwenye latitudo ileile.
 
== Hatari ya mabadiliko ya hali ya hewa duniani ==