Tabianchi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 67:
* '''Tabianchi nyevu ya nusutropiki''' hutokea zaidi ndani ya bara au kwenye pwani za mashariki, hasahasa katika digrii za latitudo 30°. Tofauti na tabia za kimediteranea majirajoto kuna unyevuanga juu. Pale ambako tabianchi hizi zinatokea katika [[Asia ya Mashariki]] majirabaridi ni yabisi na baridi zaidi kutokana na kanieneo angahewa ya juu kutoka Siberia lakini majirajoto nyevu sana kutokana na athira ya monsuni za Asia ya Kusini Magharibi.
 
* '''Tabianchi ya kibahari''': tabianchi hizi hutokea pale ambako athari ya bahari, halijoto yake na upepo zake zinaathiri tabianchi ya bara. Kwa mfano sehemu kubwa za Ulaya ya Magharibi, ya Kati na Kaskazini zinaathiriwa na [[mkondo wa ghuba]] unaosukuma maji ya vuguvugu kutoka Ghuba ya Meksiko hadi pwani za [[Norwei]] na [[Urusi]] ya Kaskazini. Hivyo tabianchi ya sehemu hizi ni tofauti na sehemu za Kanada katika latitudo zilezile: miezi ya majirajoto ni ya kupoa zaidi lakini miezi ya majirabaridi ina halijoto ya juu zaidi kuliko Amerika ya kaskazini ng'ambo ya [[bahari ya Atlantiki]].
 
* '''Tabianchi za kupoa katika nyanda za juu tropiki ''': hii ni tabianchi ya baridi zaidi katika latitudo za [[tropiki]] kutokana na kimo cha za sehemu hizi, kwa mfano huko [[Mexico]], [[Peru]], [[Bolivia]], [[Madagascar]], [[Tanzania]] ya kusini, [[Zambia]], [[Zimbabwe]], [[Afrika Kusini]]. Hapa kuna majirabaridi iliyo tofauti sana na majira mengine ambayo si kawaida katika tropiki.