Alpha Blondy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Alpha Blondy
Mstari 5:
 
==Maisha ya Mwanzo==
Alpha ni mtoto wa kwanza katika familia ya watoto tisa, Jina la kuzaliwa ni Seydou Kone amezaliwa mjini Dimbokro mnamo [[1953]]. Alilelewa na bibi yake mzaa mama.
Mnamo mwaka [[1962]], Alpha Blondy alikwenda kukaa na baba yake aliyekuwa anaishi mjini Odienne, Ambapo alikaa kwa muda wa miaka kumi, Baadae akijiunga na shule ya Sainte Elisabeth high school, na kujishughulisha na makundi ya wanafunzi ya Ivory Coast. Hapo ndipo alipo unda bendi. Ingawaje, Upenzi huu uliathiri masomo yake na baadae Blondy alikufukuzwa shule kutokana na maudhulio mabovu shuleni.
 
Wazazi wake Alpha wakampleka mtoto wao aAplha kusomea lugha ya Kiingereza mjini Monrovia, mji mkuu wa nchi jirani ya [[Liberia]] mnamo mwaka [[1973]].
Huko Alikaa kwa muda wa mwaka mmoja na mwezi mmoja kisha akamia nchini [[Marekani]] kwa kuongozea taaluma yake zaidi.
 
===Alivyokuwa Marekani===
Mnamo mwaka [[1973]] Alpha amehamia mjini [[New York]] (Pia alishi kidoogo [[Texas]]), ni mahali alipomalizia chuo na liegemea sana kwenye [[Kiingereza]], Kwasabu toka mwanzo alikuwa anataka kuwa mwalimu wa lugha ya [[Kiingereza]].
 
Alifanya kazi kwa juhudi zote, na wakati hadi usiku, akitafuta hadi kuna kipindi anakuwa mgonjwa. Akiwa New York alikutana na Marastafari kwa mara ya kwanza, Pia alikuwa na uwezo wa kuangalia matamasha ya wanamuziki wa ki[[jamaica]] kama kina [[Burning Spear]] n.k. Kwa wakati yeye alikuwa akirekodi nyimbo za kikristo lakini hakuthubutu kuacha kuandika nyimbo zake.
 
Kwa bahti alikuwa akidodosa sehemu mabalimbali za mjini [[New York]] na baade kurudi kidoogo nichi Ivory Coast, Ambako alipata matatizo saana mpaka alivyokuja kukutana rafiki yake waliokuwa wote toka utoto, Fulgence Kassi, Ambaye baadae alikujua kuwa mtayarishaji maarufu wa vipindi vya television.
Hapo ndipo alipoanza kuonekana kama kazi yake kweli ni uimbaji, na kutumia jina la 'Alpha Blondy'.
 
==Nyimbo Maarufu==
Nyimbo kwanza kumpa mafanikio ilikuwa ''Brigadier Sabare''. ni moja kati ya nyimbo zenye ujumbe: