Stan Winston : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: zh:斯坦·温斯顿
No edit summary
Mstari 13:
| academyawards = '''[[:en:Academy Award for Visual Effects|Best Effects, Special Visual Effects]]'''
1986 ''[[:en:Aliens (film)|Aliens]]''
1991 ''[[Terminator 2: Judgment Day]]''
1993 ''[[:en:Jurassic Park (film)|Jurassic Park]]''
'''[[:en:Academy Award for Makeup|Best Makeup]]'''
1991 [[Terminator 2: Judgment Day]]}}

'''Stanley Winston'''<ref>[http://www.filmreference.com/film/81/Stan-Winston.html Stan Winston Biography (1946?-)]</ref> ([[7 Aprili]], [[1946]] – [[15 Juni]], [[2008]]) alikuwa mtaalamu wa [[vionjo maalumu]], [[msanii wa vipodozi]], na [[mwongozaji wa filamu]] kutoka nchini [[Marekani]]. Alifahamika sana kwa kutengeneza [[Terminator (mfululizo)|mfulululizo wa filamu za ''Terminator'']], mfululizo wa filamu za ''[[Jurassic Park (mfululizo)|Jurassic Park]]'', ''[[Aliens (filamu)|Aliens]]'', na mfululizo wa filamu za ''[[Predator (filamu)|Predator]]'', ''[[Iron Man (filamu)]]'' na ''[[Edward Scissorhands]]''.<ref name="Cohen">Cohen, David S. (2008). [http://www.variety.com/article/VR1117987531.html?categoryid=13&cs=1 "Effects master Stan Winston dies. Work included ''Jurassic Park'', ''Terminator''"], ''Variety'' webpage retrieved 2008-06-16.</ref><ref name="Crabtree">Crabtree, Sheigh (2008). [http://latimesblogs.latimes.com/entertainmentnewsbuzz/2008/06/stan-winston-de.html "Stan Winston, dead at 62; Oscar-winning visual effects artist suffered from multiple myeloma"], ''Los Angeles Times'', Entertainment industry news blog, June 16, 2008; online version retrieved 2008-06-16.</ref><ref name="SWS">Stan Winston Studios (2008). "Press Release" posted at ''Los Angeles Times'' Entertainment industry news blog, June 16, 2008; online version retrieved 2008-06-16.</ref> Ameshinda jumla ya tuzo nne za [[Academy Awards]] kwa kazi yake aliyokuwa akiifanya.

Winston, mara kwa mara hufanya kazi na mshirika wake-mwongozaji filamu [[James Cameron]], anamiliki zaidi ya studio moja ya vionjo maalumu, ikiwemo na Stan Winston Digital. Kuanzishwa kwa maeneo ya utaalamu wa Winston ilikuwa masuala ya vipodozi/vionjo vya filamu, vikarogosi na vionjo fulani, lakini hivi karibuni alipanua wigo wa studio yake na kuongeza vionjo vya dijitali vilevile.