Alpha Blondy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 16:
Alifanya kazi kwa juhudi zote,wakati mwingine hadi usiku, akitafuta hadi kuna kipindi anakuwa mgonjwa. Akiwa New York alikutana na Marastafari kwa mara ya kwanza, Pia alikuwa na uwezo wa kuangalia matamasha ya wanamuziki wa ki[[jamaica]] kama kina [[Burning Spear]] n.k. Wakati huo yeye alikuwa akirekodi nyimbo za kikristo lakini hakuthubutu kuacha kuandika nyimbo zake mwenyewe.
 
Kwa bahti alikuwa akidodosa sehemu mabalimbali za mjini [[New York]] na baade kurudi kidoogo nichi [[Ivory Coast]], Ambako alipata matatizo saana mpaka alivyokuja kukutana rafiki yake waliokuwa wote toka utoto, Fulgence Kassi, Ambaye baadae alikujua kuwa mtayarishaji maarufu wa vipindi vya television.
Hapo ndipo alipoanza kuonekana kama kazi yake kweli ni uimbaji, na kutumia jina la 'Alpha Blondy'.