Ukristo wa Mashariki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
image change
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:ChristianityBranches.svg|600px|thumb|center||Matawi ya Ukristo yalivyotokea katika [[historia ya Kanisa]]. Upande wa juu ndio Kanisa la Magharibi, upande wa chini Makanisa ya Mashariki. Unene wa mistari haulingani na ukubwa wa madhehebu husika.]]
[[Image:Christ_Pantocrator_Deesis_mosaic_Hagia_Sophia.jpg|thumb|''[[Kristo]] [[Pantocrator]]'', sehemu ya [[Deesis]] katika [[Hagia Sophia]] - [[KonstantinopolisKonstantinopoli]] ([[Istanbul]]) [[karne ya 12]].]]
'''Ukristo wa Mashariki''' ni jina linalojumlisha [[madhehebu]] yote ya [[Ukristo]] yaliyotokea upande wa [[mashariki]] wa [[Bahari ya Kati]] na nje ya [[Dola la Roma]] yakiwa na mielekeo tofauti na ile ya [[Kanisa la Magharibi]], ambalo linawakilishandilo aina ya Ukristo iliyoenea zaidi duniani pamoja na [[ustaarabu]] wa magharibi ulioathiriwa nayo.
 
Unajumlisha hasa ma[[kanisa]] ya [[Waorthodoksi wa Mashariki]] na [[Waorthodoksi]], ambayo yalitengana na [[Kanisa la Maghariki]] hasa katika [[karne ya 5]] na [[karne ya 11]], pamoja na [[Makanisa Katoliki ya Mashariki]] ambayo yana [[ushirika kamili]] na [[Papa]] na [[Kanisa Katoliki]] lote.
 
 
 
==Marejeo==