Wilaya ya Chemba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Kuongeza habari kutoka makala ya Chemba
Mstari 4:
 
Kwa sasa Wilaya ya Chemba inajumuisha tarafa za [[Goima]], [[Mondo]], [[Kwamtoro]] na [[Farkwa]] pamoja na kata zao.
 
Wakazi wengi wa Chemba ni wakulima na wafugaji na mazao yao ni kama vile [[mahindi]], [[ulezi]], [[alizeti]], [[uwele]], [[udo]]. Wanyama wanaofugwa ni kama vile [[ng'ombe]], [[mbuzi]], [[punda]] na [[kondoo]].
 
Chemba ni miongoni mwa sehemu ambazo zipo nyuma sana kielimu kwani huwezi kuta watu watano waliofika chuo kikuu, eneo hili lina shida kubwa ya maji katika vijiji vyake vyote.