Shirikisho la Afrika ya Kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
tahajia
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Flag of the Federation of Rhodesia and Nyasaland.svg|thumb|200px|Bendera ya Shirikisho la Afrika ya Kati]]
[[Image:CAF-map-2.gif|thumb|200px|Eneo la Shirikisho la Afrika ya Kati]]
'''Shirikisho la Afrika ya Kati''' iliitwa pia '''Shirikisho la Rhodesia na Unyasa''' ikawa dola la kujitawala chini katika mfumo wa ukoloni wa [[Uingereza]] uliounganisha nchi za leo za [[Zambia]], [[Zimbabwe]] na [[Malawi]] zilizoitwa wakati ule [[Rhodesia ya Kaskazini]], [[Rhodesia ya Kusini]] na [[Unyasa]] (Nyassaland).
Ilipatikana kati ya 1953 hadi mwisho wa 1963.