Sani Abacha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sani Abacha
(Hakuna tofauti)

Pitio la 11:49, 25 Oktoba 2007

Jenerali Sani Abacha (Alizaliwa mjini Kano tar. 20 Septemba mwaka 1943, Akafariki tar. 8 Juni mwaka 1998) Alikwa kiongozi wa kijeshi wa Nigeria, Pia alikuwa mwanasiasa. Aliwahi kuwa miungoni mwa marais wa nchini Nigeria kwa mwaka wa 1993 hadi mwaka 1998 kifo chake kilivyomifikia. Alifahamika sana kwa udikteta.