Ukoloni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Colonization 1945.png|thumbnail|450px|Ramani ya ukoloni duniani mwishoni mwa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] mwaka [[1945]].]]
{{mergefrom|Utawala wa kikoloni}}
[[Picha:Colonization 1945.png|thumbnail|450px|Ramani ya ukoloni duniani mwishoni mwa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] mwaka [[1945]]]]
 
''' Ukoloni''' ni mfumo wa [[taifa]] moja kuvuka mipaka yake na kutawala taifa jingine katika nyanja za [[uchumi|kiuchumi]], [[utamaduni|kiutamaduni]] na [[jamii|kijamii]].
Line 10 ⟶ 9:
Ukoloni mamboleo ni aina ya nchi au kundi la nchi fulani kutawala nchi nyingine kinyemela kwa kuweka vikwazo na masharti yatakayowafanya watawaliwa waendelee kuwa na uchumi tegemezi ili wawatajirishe zaidi hao wanaowatawala kinyemela
 
{{mergefrom|==Utawala wa kikoloni}}==
''' VITA AFRICA (Uhuru)'''
Utawala wa kikoloni ni [[utawala]] ulioanzishwa hasa na [[Wazungu]] kwa lengo la [[Unyonyaji|kunyonya]] na pengine [[ubaguzi|kuwabagua]] [[Waafrika]] na watu wengine wenyeji wa [[Asia]], [[Oseania]] na [[Amerika]].
 
Utawala huo ulitegemea hali ya [[taifa]] lenyewe lililohusika pamoja na hali ya [[jamii]] zilizokuwa zinatawaliwa.
 
Baada ya kuanzisha utawala huo wakoloni walibadilisha [[utawala wa jadi]] na kuufanya utawale kwa [[masilahi]] ya wakoloni; pia utawala huo uliharibu [[hadhi]] ya utawala wa jadi na misingi ya [[jadi]].
 
===Muundo wa utumishi===
Muundo wa utumishi katika utawala wa kikoloni ulikuwa wa kibaguzi na kinyonyaji:
(a) Kazi katika ngazi za juu zilifanywa na Wazungu, hasa kazi zilizohitaji [[ujuzi]].
 
(b) Kazi katika ngazi za chini zilifanywa na wenyeji kama vile [[ukarani]], [[utarishi]], [[ufagizi]] na [[ukorokoroni]].
 
(c) Wakoloni walitoa [[elimu]] duni kwa wenyeji ili waendelee kuwaajiri katika ngazi za chini.
 
==Makoloni yaliyokuweko Afrika==
 
1. Belgium na Congo Burundi, Rwanda, Zaire (formerly the Congo)
Line 27 ⟶ 42:
 
7. Spain na Equatorial Guinea, Morocco".
 
 
[[Jamii:Historia ya Afrika]]