Tofauti kati ya marekesbisho "Voyager 1"

109 bytes added ,  miaka 9 iliyopita
no edit summary
d (Roboti: Imeongeza simple:Voyager 1)
No edit summary
[[File:Voyager.jpg|thumb|300px|Voyager 1]]
[[File:Voy1 8feb2012.jpg|thumb|300px|Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012]]
'''Voyager 1''' ni [[chombo cha angani]] kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la [[NASA]] nchini [[Marekani]] kwa kusudi la kupeleleza anga katika [[mfumo wa jua]] letu hadi [[anga la nje]] kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake. Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na dunia yaani 1123.840×10105 kmvizio wakatiastronomia wavinavyolingana Novembana 2012.kilomita Mwakabilioni 2012 ilitembea18.35; njenuru ya mzingojua wainahitaji [[Pluto]]zadi katikaya kandamasaa la17 heliosheathkufikia penyevoyager mata1 ya mwisho inayoshikwa na [[graviti]](hali ya [[jua]]Desemba ikiandaa2012). kuondoka katika mfumo wa jua letu kabisa na kuingia anga kati ya nyota.
 
Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa [[Pluto]] katika kanda la heliosheath penye mata ya mwisho inayoshikwa na [[graviti]] ya [[jua]] ikiandaa kuondoka katika mfumo wa jua letu kabisa na kuingia anga kati ya nyota.
 
Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Jupiter na Saturn na kupiga pacha bora za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye [[Plutoni]] nururifu zinazopangwa kutoa umeme hadi mwaka 2020.