Ukoloni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza ndogo
Mstari 1:
[[Picha:Colonization 1945.png|thumbnail|450px|Ramani ya ukoloni duniani mwishoni mwa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]] mwaka [[1945]].]]
 
''' Ukoloni''' ni mfumo wa [[taifa]] moja kuvuka mipaka yake na kutawala taifamaeneo jingineya katikambali yanayokaliwa na watu wengine kwa nyanja za [[uchumi|kiuchumi]], [[utamaduni|kiutamaduni]] na [[jamii|kijamii]].
 
Ukoloni unaitwa hasa kipindi tangu karne ya 15 ambako [[Ureno]] na [[Hispania]] zilianza kuenea Afrika na [[Amerika ya Kusini]] na kudumu hadi baada ya [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Lakini kulikuwa na vipindi vya ukoloni pia zamani katika historia kama vile ukoloni wa [[Roma ya Kale]], ukoloni wa Waarabu na vingine. Ukoloni kwa maana hii inaweza kuwa tofauti na kuundwa kwa [[koloni]] katika vipindi mbalimbali vya historia ambako maeneo bila wakazi au penye wakazi wachache sana yaliingiliwa na watu kutoka sehemu nyingine.
 
 
Nchi za [[Afrika]] yaliwekwa chini ya ukoloni wa nchi za [[Ulaya]] mara baada ya [[Mkutano wa Berlin]] ulioitishwa na [[chansella]] wa [[Ujerumani]] [[Bismarck]] mwaka [[1884]]-[[1885]].