Sani Abacha : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Undo revision 85545 by Muddyb Blast Producer (Talk)
Sani Abacha
Mstari 1:
[[Image:Sani Abacha.jpg|thumb|right|180px|Sani Abacha.]]
'''Jenerali Sani Abacha''' (Alizaliwa mjini [[Kano]] tar. [[20 Septemba]] mwaka [[1943]], Akafariki tar. [[8 Juni]] mwaka [[1998]]) Alikwa kiongozi wa kijeshi wa [[Nigeria]], Pia alikuwa mwanasiasa. Aliwahi kuwa miungoni mwa marais (10) wa nchini [[Nigeria]] kwa [[mwaka]] wa [[1993]] hadi mwaka [[1998]] kifo chake kilivyomfikia. Alitanguliwa na Rais [[Ernest Shonekan]], Ambaye yeye alikuwa Rais wa '9' kwa nchi ya Nigeria.
Jenerali Sani Abacha Alifahamika sana kwa udikteta. Badala ya kifo cha Abacha akakamata madaraka bwana '[[Abdulsalami Abubakar]]'. Alyekaa madarakani kwa muda wa mwaka mmoja tu, kisha uchaguzi wa kitaifa ukapita.
==Viungo vya Nje==
*[http://news.bbc.co.uk/1/hi/special_report/1998/06/98/nigeria/109265.stm Makala kuhusu Abacha katika BBC]