Ernest Shonekan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ernest Shonekan
Ernest Shonekan
Mstari 1:
[[Image:Ernest Shonekan.jpg|thumb|right|160px|Ernest Shonekan.]]
'''Ernest Adegunle Oladeinde Shonekan''' (Amezaliwa tar. [[9 Mei]] [[1936]] mjini [[Lagos]], [[Nigeria]]) Alikuwa rais wa tisa kwa nchi ya [[Nigeria]]. Shonekan pia ni mwanasheria aliyesomea sheria nchini [[Uingereza]], Pia ni mmiliki wa kiwanda na pia mwanasiasa.
Alichaguliwa kama rais wa muda wa [[Nigeria]] na Jeneral [[Ibrahim Babangida]] mnamo tar. [[26 Agosti]], mwaka [[1993]].