Sudan Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza stq:Suud-Sudan
Copyedit.
Mstari 1:
{{Infobox Country or territorycountry
|conventional_long_name = Sudan Kusini
|common_name = Republic of South Sudan‎
|image_flag =Flag_of_South_Sudan.svg
Mstari 13:
|regional_languages = over 400 dialects. [[Kakwa language|Kakwa]], [[Dinka language|Dinka]], [[Nuer language|Nuer]]<ref name="msdk"/>, Nubian, Ta Bedawie, diverse dialects of Nilotic, Nilo-Hamitic, Sudanic languages, [[Juba Arabic]].
|ethnic_groups = [[Dinka]], [[Nuer]], [[Bari people|Bari]], [[Lotuko]],[[Kuku]], [[Zande]], [[Mundari (tribe)|Mundari]], [[Kakwa]], [[Pojulu people|Pojulu]], [[Moru]], [[Acholi]], [[Madi]], [[Lulubo]], [[Lokoya]], [[Toposa]], [[Lango]], [[Didinga]], [[Murle]], [[Anuak]], [[Makaraka]], [[Mundu]], [[Jur]], [[Kaliko]], and others.
|ethnic_groups_year =
|demonym = [[Sudanese]]
|government_type =
|leader_title1 = [[List of Presidents of the Government of Southern Sudan|President]]
|leader_name1 = [[Salva Kiir Mayardit]]
|leader_title2 = [[List of Vice-Presidents of the Government of Southern Sudan|Vice-President]]
|leader_name2 = [[Riek Machar]]
|sovereignty_type =
|sovereignty_note =
|established_event1 = [[Comprehensive Peace Agreement]]
|established_date1 = January 9, Januari 2005
|area_rank = 45
|area_magnitude =
|area_km2 = 640000
|area_sq_mi =
|percent_water =
|population_estimate = 7,500,000 - 9,700,000 ''(2006, UNFPA)''<ref name="unfpa">{{citeweb|url=http://sudan.unfpa.org/souther_Sudan/index.htm|title=UNFPA Southern SUDAN|work=UNFPA}}</ref><br /> 11,000,000 - 13,000,000 ''(Southern Sudan claim, 2009)''<ref>{{citenews|url=http://www.sudantribune.com/spip.php?article31005|title=Sudan census committee say population is at 39 million|work=SudanTribune|date=27 April 2009}}</ref>
|population_estimate_rank =
|population_estimate_year =
|population_census = 8,260,490 ''(disputed)''<ref name="n24">{{citenews|url=http://www.news24.com/Content/World/News/1073/b52cc36803164f39be83598566f1eb70/21-05-2009-07-23/Discontent_over_Sudan_census|title=Discontent over Sudan census|work=News24.com|date=21 MayMai 2009}}</ref>
|population_census_year = 2008
|population_density_km2 =
|population_density_sq_mi =
|population_density_rank =
|GDP_PPP =
|GDP_PPP_rank =
|GDP_PPP_year =
|GDP_PPP_per_capita =
|GDP_PPP_per_capita_rank =
|GDP_nominal =
|GDP_nominal_rank =
|GDP_nominal_year =
|GDP_nominal_per_capita =
|GDP_nominal_per_capita_rank =
|Gini =
|Gini_year =
|Gini_category =
|HDI =
|HDI_rank =
|HDI_year =
|HDI_category =
|currency = [[Sudanese pound]]
|currency_code =
|time_zone =
|utc_offset = +3
|cctld =
|calling_code =
|footnote1 = Estimated at 8.5 million in 2005.{{Citation needed|date=May 2007}}
natural rescources petroleum; small reserves of iron ore, copper, chromium ore, zinc, tungsten, mica, silver, gold, hydropower. (CIA factbook)
Mstari 65:
[[Picha:John Garang.jpg|thumb|150px]left|[[John Garang]], aliyekuwa [[Rais]] wa kwanza wa Sudan Kusini kabla ya uhuru na Makamu wa kwanza wa Rais wa Sudan, baada ya kuongoza wanamgambo wa Sudan ya Kusini kupigania [[uhuru]] wa majimbo ya kusini.]]
 
'''Sudan Kusini''' ('''Jamhuri ya Sudan Kusini''', kwa [[Kiingereza]] '''Republic of South Sudan‎''') ni nchi huru iliyojitenga rasmi na [[Sudan]] tarehe [[9 Julai]] [[2011]], ikiwa ni ya 54 katika [[bara]] la [[Afrika]] na ya 193 duniani.
 
Hatua hiyo ilitokana na kwamba mwezi wa Januari 2011 wakazi wa Sudan Kusini walipiga kura juu ya swali la kujitenga na Sudan wakaamua karibu kwa [[kauli moja]] kuwa nchi huru.
 
Tofauti kubwa kati ya pande hizo ilikuwa kwamba katika Sudan yenyewe idadi kubwa ya watu wamekuwa [[Waislamu]] na [[utamaduni]] wao una mchaganyiko wa tabia za Kiarabu na Kiafrika pamoja na usambazaji mkubwa wa [[lugha]] ya [[Kiarabu]]. Kumbe kusini kuna Waislamu wachache, wengi ni wafuasi wa [[dini za jadi]] au ni [[Wakristo]]. Kiuchumi na kielimu kusini iko nyuma sana kulingana na kaskazini.
 
Nchi ina muundo wa [[shirikisho]].
 
Mji mkuu ni [[Juba, Sudan|Juba]], wenye wakazi 1.118.233.
 
Imepakana na [[Sudan]] kaskazini, [[Ethiopia]] mashariki, [[Kenya]], [[Uganda]], na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] kusini, na [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]] upande wa magharibi.
 
Inakadiriwa kwamba Sudan Kusini ina wakazi zaidi ya milioni 15, lakini kutokana na ukosefu wa [[sensa]] kwa miongo kadhaa, makisio haya yaweza kuwa si sahihi, na kuweza kuongezeka hadi karibu milioni 17.
 
[[Uchumi]] unategemea [[kilimo]] vijijini na cha kujikimu, lakini mwanzoni mwa mwaka 2005, uchumi alianza mpito wa kutoka vijijini na mijini katika Sudan Kusini kumeonekana [[maendeleo]] kupindukia.
 
== Historia ==
Kuna [[nyaraka]] chache sana za [[historia]] ya mikoa ya kusini mpaka mwanzo wa utawala wa [[Misri]] upande wa kaskazini mapema [[1820]] na baadaye kuendelezwa kwa [[biashara ya utumwa]] kuingia kusini.
 
Kabla ya wakati huo, habari zote zinapatikana kwa misingi ya [[historia simulizi]]. Kulingana na [[mila]] hizo, watu wa [[Niloti]] ([[Wadinka]], [[Nuer]], [[Shilluk]]) na wengine waliingia kusini mwa Sudan kwa mara ya kwanza wakati fulani kabla ya [[karne ya 10]].
Kuna [[nyaraka]] chache sana za [[historia]] ya mikoa ya kusini mpaka mwanzo wa utawala wa [[Misri]] upande wa kaskazini mapema [[1820]] na baadaye kuendelezwa kwa [[biashara ya utumwa]] kuingia kusini.
 
Katika kipindi cha kati ya [[karne ya 15]] na [[karne ya 19]], [[uhamiaji]] wa makabila, hasa kutoka eneo la [[Bahr al Ghazal]], ulileta watu hawa katika maeneo yao ya sasa. Makabila yasiyo Niloti yaani [[Waazande]], ambao waliingia Sudan Kusini katika [[karne ya 16]], waliunda jimbo kubwa zaidi katika kanda hii.
Kabla ya wakati huo, habari zote zinapatikana kwa misingi ya [[historia simulizi]]. Kulingana na [[mila]] hizo, watu wa [[Niloti]] ([[Wadinka]], [[Nuer]], [[Shilluk]]) na wengine waliingia kusini mwa Sudan kwa mara ya kwanza wakati fulani kabla ya [[karne ya 10]].
 
Katika kipindi cha kati ya [[karne ya 15]] na [[karne ya 19]], [[uhamiaji]] wa makabila, hasa kutoka eneo la [[Bahr al Ghazal]], ulileta watu hawa katika maeneo yao ya sasa. Makabila yasiyo Niloti yaani [[Waazande]], ambao waliingia Sudan Kusini katika [[karne ya 16]], waliunda jimbo kubwa zaidi katika kanda hii.
 
Katika [[karne ya 18]], watu wa Avungara waliingia na kwa haraka wakaweka mamlaka yao juu ya Waazande. Utawala wa [[Avungara]] ulikaa kwa muda bila kupingwa mpaka kuwasili kwa Waingereza mwishoni mwa [[karne ya 19]]. Vizuizi vya kijiografia viliwalinda watu wa kusini kutokana na kuenea kwa Uislamu, na kuwawezesha kurejesha turathi zao za kijamii na kitamaduni na urithi wao wa kisiasa na taasisi za kidini.
 
[[Misri]], chini ya utawala wa [[Khedive Ismail Pasha]], ilijaribu kwa mara ya kwanza kuikoloni kanda hiyo katika [[miaka ya 1870]], na kuanzisha jimbo la [[Equatoria]] katika sehemu ya kusini. [[Gavana]] wa kwanza wa Misri alikuwa [[Samwel Baker]], aliyeanza kuhudumu mwaka [[1869]], akifuatiwa na [[Charles George Gordon]] mwaka [[1874]] na [[Emin Pasha]] mnamo [[1878]].
 
[[Maasi ya Mahdist]] ya [[miaka ya 1880]] yaliuyumbisha mkoa huu mchanga, na Equatoria ilikoma kuwepo kama milki ya Misri mwaka [[1889]]. Makazi muhimu katika Equatoria yalikuwa pamoja na [[Lado]], [[Gondokoro]], [[Dufile]] na [[Wadelai]].
 
Sudan Kusini ilitawaliwa kama eneo la pekee wakati wa [[ukoloni]] wa Kiingereza hadi [[1947]] ilipounganishwa na kaskazini kama nchi moja bila kuwauliza wenyeji.
 
Wakati wa [[uhuru]] wa Sudan mwaka [[1956]] viongozi wa kusini walidai [[haki ya kujitawala]] ndani ya [[taifa]] jipya, lakini mapatano yalishindikana na hali hiyo ilisababishwa kutokea kwa [[vita]] ya [[Anyanya]] kati ya 1956 na [[1972]].
 
Baada ya kipindi cha [[amani]], vita vilianza upya mwaka [[1983]] wakati [[kanali]] [[John Garang]] alipounda [[SPLA]] dhidi ya badiliko la Sudan kutangazwa [[nchi ya Kiislamu]].
Line 103 ⟶ 102:
Vita hivyo vya pili vilikwisha mwaka [[2005]] kwa [[mkataba wa amani]] ulioacha kusini kama sehemu ya kujitawala ndani ya Sudan hadi ipigwe kura juu ya swali la kujitenga iliyopangwa kwa mwaka 2011.
 
Nchi imeathiriwa vibaya na vita vya kwanza vya Anya-nya (1) na vya pili Anya (2) na pia [[Vita vya Pili vya Wenyewe kwa Wenyewe vya Sudan]] vya SPLA / M kwa karibu miaka 21 tangu historia ya mwanzo wa SPLA / M mwaka wa 1983 - na kupelekea kutelekezwa vibaya, ukosefu wa miundomsingi ya maendeleo, na uharibifu mkubwa na kuhama kutoka makazi yao.
 
Zaidi ya watu milioni 2.5 wameuawa, zaidi ya milioni 5 kuachwa bila makao na wengine kuwa wahamiaji wa ndani, na kuwa [[wakimbizi]] kwa sababu ya vita vya wenyewe kwa wenyewe na sababu zingine zinazohusiana na vita.
 
Baada ya kifo cha [[John Garang]], majeshi ya [[Southern Sudan Army]] na [[South Sudan Defense Force]] (SSDF) yalisitisha uhasama wao na kuungana mnamo Januari [[2006]], chini ya [[Azimio la Juba]]. SSDF ilianzishwa na Makamu wa Rais wa sasa wa Sudan Kusini, Dkt. [[Riek Machar]]. Chini ya Azimio la Juba, Jenerali Matip akawa Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Sudan Kusini, na vikosi vyake vya SSDF kuingizwa katika Jeshi la Sudan Kusini, na kuongezea safu yake kutoka 50,000 hadi 309,000. Jumla ikawa askari 359,000. Wote sasa ni jeshi moja linalojulikana kama Jeshi la Sudan Kusini. Jenerali Oyay Deng Ajak aliteuliwa kuwa Ofisa-mkuu-wa-Watumishi wa Jeshi la Sudan Kusini, hadi Mei 2009 wakati alipompisha Meja Jenerali James Hoth Mai<ref>[10] ^ http://www.newsudanvision.com/index.php?option=com_content&amp;view=article&amp;id=1715:developing-story-major-general-james-hoth-mai-appointed-spla-new-chief-of-staff &amp; Itemid = 6</ref>.
 
Mbali na Katiba ya Mpito ya Jamhuri ya Sudan <ref>{{citeweb|url=http://www.sudan-embassy.de/c_Sudan.pdf|title=Interim National Constitution of the Republic of Sudan, 2005}}</ref>, Katiba ya Mpito ya Sudan Kusini ya 2005 iliwekwa kuwa sheria kuu <ref>{{citeweb|url=http://gurtong.brandx.eu/LinkClick.aspx?fileticket=1atewJwi6UU%3d&tabid=341|title=Interim Constitution of Southern Sudan of 2005}}</ref> ya Sudan Kusini.
 
Katiba imeweka Tawi Kuu linaloongozwa na [[Rais]] ambaye ni Mkuu wa Nchi, Mkuu wa Serikali, na Kamanda Mkuu wa [[Sudan People's Liberation Army]]. [[John Garang]], mwanzilishi wa SPLA / M alikuwa Rais wa kwanza hadi kifo chake tarehe [[30 Julai]] [[2005]].
 
[[Salva Kiir Mayardit]], naibu wake, aliapishwa kama [[Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan]] na [[Rais]] wa Serikali ya Sudan Kusini tarehe [[11 Agosti]] 2005. [[Riek Machar]] aliingia mahala pake kama [[Makamu wa Rais]].
 
Nguvu za kuunda sheria ziko mikononi mwa serikali na [[Bunge la pamoja la Sudan Kusini]].
 
Katiba pia imeweka [[mahakama]] huru, chombo cha juu kabisa kikiwa [[Mahakama Kuu]].
 
== Jiografia ==
[[Picha:Political Regions of Sudan, July 2006.svg|thumb|right|[16] [17] [18]]]
Kirasmi, Sudan Kusini inajumuisha [[majimbo]] kumi ambayo hapo awali yalikuwa kihistoria Mikoa mitatu ya Bahr el Ghazal, Equatoria, na Upper Nile. Maeneo matatu ya Milima ya Nuba, Abyei na Blue Nile kiutamaduni na kisiasa ni sehemu za Kusini lakini kwa mujibu wa [[CPA]] yatakuwa na utawala tofauti mpaka kura ya maoni ambayo ifanyike ambapo yatapata fursa ya kujiunga na Kusini au kubaki chini ya utawala ya Kaskazini.
Line 130 ⟶ 129:
* [[Warab]]
* [[Bahr al Ghazal ya Kimagharibi]]
|col2 =
* Nile ya Kijuu
** [[Nile ya Kijuu]]
Line 143 ⟶ 142:
 
== Idadi ya Watu ==
 
Inakubaliwa na wengi kuwa kabila kubwa zaidi Sudan Kusini ni [[Dinka]], ikifuatiwa na Nuer kisha [[Shilluk]]. Makabila mengine ya jamii ya Sudan Kusini ni [[Acholi]], [[Murle]], [[Bari]], [[Nubi]], [[Kuku]], [[Funj]], [[Maban]], [[Zandi]], [[Oduk]] na mengineyo.
 
Line 150 ⟶ 148:
 
==== Sensa mpya ====
 
Mwaka [[2009]] Sudan ilianza upya sensa ya Sudan Kusini kabla ya [[kura ya maoni ya uhuru wa Sudan Kusini, 2011]], ambayo ilisemekana pia kujumuisha Wanasudan Kusini walio nchi zingine. Hata hivyo harakati hii ilikashifiwa kwani iliziacha nje nchi zenye idadi kubwa ya watu kutoka Sudan Kusini, na badala yake kuhesabu nchi ambapo idadi hii ilikuwa ndogo<ref>{{citenews|url=http://www.rnw.nl/africa/article/south-sudan-claims-northern-sudans-census-dishonest|title=South Sudan says Northern Sudan's census dishonest|work=Radio Nederland Wereldomroep|date=6 November 2009}}</ref>.
 
Line 168 ⟶ 165:
 
=== Mafuta ===
Katika miaka ya hivi karibuni, [[uchimbaji]] wa kiasi muhimu na makampuni ya kigeni umeanza huko Sudan Kusini, na kuinua hadhi yake ya kijiografia na ya kisiasa. Khartoum imegawanya Sudan katika vitalu, na takriban asilimia 85 ya mafuta hutoka Kusini.
 
Vitalu 1, 2, na 4 hudhibitiwa na kampuni kubwa zaidi kutoka ng'ambo, inayoitwa [[Greater Nile Petroleum Operating Company]] (GNPOC). GNPOC inajumuisha washiriki wafuatao: [[CNPC (Jamhuri ya Watu ya China]]), na hisa asilimia 40; [[Petronas (Malaysia)]], na asilimia 30; [[ONGC (India)]], na asilimia 25; na [[Sudapet]] ya serikali kuu ya Sudan na asilimia 5{{Citation needed|date=June 2008}}.
Line 179 ⟶ 176:
 
== Hali ya kibinadamu ==
Sudan Kusini ilikiri kuwa na baadhi ya [[viashiria]] vya [[afya]] vibaya zaidi duniani<ref name="sudantribune">[40] ^ Ross, Emma (28 Januari 28, 2004). [http://www.sudantribune.com/spip.php?article1616 Southern Sudan as unique combination of worst diseases in the world]. ''[[Sudan Tribune]]'' .</ref>. <ref>[41] ^ Moszynski, Peter (23 Julai 23, 2005). [http://www.bmj.com/cgi/content/full/331/7510/179 Conference plans rebuilding of Southern Sudan's health service.] ''[[BMJ]]'' .</ref> Mwaka [[2004]], kulikuwa na ma[[daktari]] wapasuaji watatu tu kutumikia Sudan kusini yote, na [[hospitali]] sawa tatu, na katika baadhi ya maeneo hayo kuna [[daktari]] mmoja tu kwa kila watu 500,000<ref name="sudantribune"/>.
 
Kufikia wakati wa [[Mkataba Mwafaka wa Amani]] wa 2005, mahitaji ya kiutu katika Sudan Kusini yalikuwa makubwa. Hata hivyo, mashirika ya kibinadamu chini ya uongozi wa Ofisi ya [[Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu]] (OCHA) yaliweza kuhakikisha kuna [[fedha]] za kutosha kuleta unafuu kwa wakazi. Pamoja na misaada ya dharura na [[maendeleo]], miradi ya kibinadamu ilijumuishwa katika Mpango wa Kazi wa 2007 wa [[Umoja wa Mataifa]] na washirika wake.
 
Mnamo [[2007]], OCHA (chini ya uongozi wa [[Eliane Duthoit)]] ilianza awamu ya kumalizia Kusini mwa Sudan mahitaji ya kibinadamu polepole lakini kwa kugeuka juu ya udhibiti wa kufufua na maendeleo ya shughuli za NGOs na mashirika ya kijamii. <ref>[43] ^ [http://www.irinnews.org/Report.aspx?ReportId=71676 SUDAN: Peace bolsters security in the south]. [[IRIN.]] Aprili 18, Aprili 2007.</ref>
 
== Tazama Pia ==
 
* [[Sudan]]
* [[Manispaa ya Duk]]
Line 193 ⟶ 189:
* [[Nyuol Tong]]
 
== Marejeo ==
{{reflistMarejeo|2}}
 
== Viungo vya nje ==
Line 200 ⟶ 196:
* [http://www.sslagoss.org/ Bunge la Sudan Kusini]
* [http://www.splmtoday.com/ Tovuti rasmi ya SPLM]
* [http://www.helpsudaninternational.org/about/index.html / HELPSudan International], lililoanzishwa na wavulana waliopotea wanaoishi Chicago ambao wanadhamiria kuboresha jamii za Sudan kusini kwa kuanzisha shule na kutoa rasilimali za afya na maji safi
* [http://www.gurtong.org/resourcecenter/gov/GOSS_Structure.asp Tovuti ya Habari za kisiasa]
* [http://www.southsudannation.com/ Tovuti ya Uhuru wa Kusini]
* Makala ya [http://www.iss.europa.eu/nc/actualites/actualite/article/post-2011-scenarios-in-sudanbrwhat-role-for-the-eu/ Post-2011 scenarios in Sudan: What role for the EU?], na Suliman Baldo, Maria Gabrielsen, Fabienne Hara, Damien Helly, Fouad Hikmat, Michael Kevane, Roland Marchal, Tim Murithi, Luka Patey, Report No 6, NovemberNovemba 2009, [[Taasisi ya Umoja wa Ulaya kwa Mafunzo ya Usalama]]
* [http://www.un.org/Depts/dpko/missions/unmis/ Misheni ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan]
* [http://www.pca-cpa.org/showpage.asp?pag_id=1306 North/South Sudan Abyei Boundary Tribunal] pamoja na Aliyekuwa Rais wa ICJ Mheshimiwa [[Stephen M. Schwebel]] na Makamu wa Rais Mheshimiwa [[Awn Shawkat Al-Khasawneh]] na [http://www.pca-cpa.org/shownews.asp?ac=view&amp;nws_id=211&amp;pag_id=1261 3 July 2008] na [http://www.sudantribune.com/spip.php?article28587 UN SRSG for Sudan Praises Abyei Progress of 11 SeptemberSeptemba 2008] na [http://www.pca-cpa.org/shownews.asp?ac=view&amp;pag_id=1261&amp;nws_id=212 Vyama Deposit Arbitration Abyei Mkataba na Designate Agents ya 2 Oktoba 2, 2008] na [http://www.globalarbitrationreview.com/news/article/14904/dupuy-preside-sudan-dispute 31 Oktoba 31, 2008] na [http://www.pca-cpa.org/shownews.asp?ac=view&amp;pag_id=1261&amp;nws_id=251 Norway's kuchangia katika Mfuko PCA Kaskazini na Sudan Kusini ya 18 Desemba 18, 2008] na [http://www.sudantribune.com/spip.php?article29937 Sudan välkomnar Rais Obama wa Marekani 22 Januari 22, 2009] na ya [[White House]] na [http://www.pca-cpa.org/shownews.asp?nws_id=255&amp;pag_id=1261&amp;ac=view Mahakama ya Abyei's Schedule kwa Written Pleadings na Oral kusikia] na [http://www.pca-cpa.org/showpage.asp?pag_id=1318 kusikia Abyei Schedule, 18-23 Aprili 2009] na [http://www.globalarbitrationreview.com/news/article/15231/sudan-hearing-proceeds-following-expense-row/ Abyei kusikia Expense Row Kufuatia Mapato ya 17 Aprili 17, 2009] na [http://www.sudantribune.com/spip.php?article30897 simulizi kusikia ya Abyei Arbitration Begins tarehe 18 Aprili 2009] na [http://www.pca-cpa.org/showpage.asp?pag_id=1306 Final Abyei Boundary tuzo ya 22 Julai, 2009] na [http://www.un.org/apps/news/story.asp?NewsID=31544&amp;Cr=Abyei&amp;Cr1 UNSG Ban Ki-Moon's Statement] [http://www.un.org/apps/sg/sgstats.asp?nid=3990 lovordar Abyei tuzo] na [http://www.voanews.com/english/Africa/2009-07-23-voa6.cfm Tawala Abyei Hague Final] [http://www.euronews.net/2009/07/22/north-and-south-sudan-agree-oil-region-deal/ huwafufua Big Amani Matumaini ya Sudan] na [http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/8162690.stm BBC] na [http://www.globalarbitrationreview.com/news/article/14904/dupuy-preside-sudan-dispute/ Går] na [http://www.haguejusticeportal.net/eCache/DEF/10/881.TGFuZz1FTg.html Justice Portal] na [http://www.gossmission.org/goss/index.php?option=com_content&amp;task=view&amp;id=928&amp;Itemid=1 SPLM-NPC Pamoja Statement tuzo ya Abyei's Utekelezaji] na [http://www.gossmission.org/goss/index.php?option=com_content&amp;task=view&amp;id=926&amp;Itemid=1 USA, EU na rangi Karibu PCA uamuzi juu ya Abyei] na [http://www.thestate.com/world/story/872906.html Tawala tarehe Oil Mkoa Boilsters amani nchini Sudan] na [http://www.gossmission.org/goss/ GOSS] na [http://www.sudantribune.com/spip.php?mot99 Abyei Boundary Arbitration Homepage]
* [http://www.fco.gov.uk/en/newsroom/latest-news/?view=PressS&amp;id=11813900 Maadhimisho ya Mkataba Mwafaka wa Amani kati ya Sudan Kaskazini na Kusini ya Januari 7, 2009]
* [http://www.iss.co.za/AF/profiles/Sudan/darfur/compax/ Mkataba Mwafaka wa Amani]