Lugha za Kiberberi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza lt:Berberų kalbos
Mstari 16:
|-
|}
[[Picha:BeddMoroccan stop sign in Arabic and Berber.jpg|thumb|left|250px|Alama ya barabarani ya "Stop!" kwa Kiarabu na Tamazight nchini Moroko]]
'''Tamazight''' ni jina la kundi la lugha zinazotajwa pia kama "'''lugha za Kiberber'''" na kuzungumzwa hasa [[Moroko]] na [[Algeria]] lakini pia kati ya wakazi wa [[jangwa]] kubwa la [[Sahara]] hadi eneo la [[Sahel]]. Ni lugha ya [[Waberberi]] wanaoishi kati ya wasemaji wa Kiarabu katika Afrika ya Kaskazini.