Enzi ya kati : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
New page: thumb '''Enzi ya Kati''' ilikuwa kipindi cha historia ya Ulaya kati ya mwisho wa Dola la Roma mnamo mwaka 500 na matengenezo makuu ya kanisa mnam... |
No edit summary |
||
Mstari 2:
'''Enzi ya Kati''' ilikuwa kipindi cha historia ya [[Ulaya]] kati ya mwisho wa [[Dola la Roma]] mnamo mwaka [[500]] na [[matengenezo makuu ya kanisa]] mnamo mwaka 1500.
Historia ya Ulaya hugawanywa mara nyingi katika vipindi vitatu vya [[Enzi ya Kale]], [[Enzi ya Kati]] na [[Enzi ya Kisasa]]. Hata kama ugawaji huu umetokana na mazingira ya Ulaya tu hutumiwa pia kwa maeneo mengine ya dunia. Wataalamu wengi huamini ya kwamba haufai sana kidunia lakini hadi sasa hakuna mpangilio mwingine kwa dunia yote unaoeleweka kirahisi hivi.
==Mwanzo wa kipindi cha Enzi ya Kati==
Kabla ya Enzi ya Kati kulikuwa na ustaarabu wa Dola la Roma. Milki hii kubwa ilijenga utamaduni uliounganisha nchi za Afrika ya KAskazini, Asia ya Magharibi na Ulaya ya Kusini pamoja na Ulaya ya Magharibi. Katika eneo hili kubwa palikuwa na uchumi ulioendela na njia za mawasiliano kama barabara, mabandari hata aina ya [[posta]]. Ustaarabu huu ulikuwa na idadi ya watu waliojua kusoma na kuandika. Lugha za pamoja kama [[Kilatini]] na [[Kigiriki]] zilieleweka na asilimia fulani ya watu kote katika dola hili. Hata kama watu wengi hasa watu wa vijijini na watumwa hawakujua kusoma bado walikuwepo watu waliojua kila sehemu ya dola.
Line 8 ⟶ 12:
*[http://sd71.bc.ca/sd71/school/courtmid/Library/subject_resources/socials/middleagesframe.htm Student resources]
[[Category:
[[af:Middeleeue]]
|