Enzi ya kati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
Kabla ya Enzi ya Kati kulikuwa na ustaarabu wa Dola la Roma. Milki hii kubwa ilijenga utamaduni uliounganisha nchi za Afrika ya KAskazini, Asia ya Magharibi na Ulaya ya Kusini pamoja na Ulaya ya Magharibi. Katika eneo hili kubwa palikuwa na uchumi ulioendela na njia za mawasiliano kama barabara, mabandari hata aina ya [[posta]]. Ustaarabu huu ulikuwa na idadi ya watu waliojua kusoma na kuandika. Lugha za pamoja kama [[Kilatini]] na [[Kigiriki]] zilieleweka na asilimia fulani ya watu kote katika dola hili. Hata kama watu wengi hasa watu wa vijijini na watumwa hawakujua kusoma bado walikuwepo watu waliojua kila sehemu ya dola.
 
Ustaarabu huu uliporomoka pamoja na matatizo ya kiuchumi, gharama kubwa kwa jeshi na mashambulio ya makabila ya nje hasa ya Wagermanik yaliyoweza kuingia ndani ya Dola la Roma bila kulingana na utamaduni wa ustaarabu huo. Roma ilishindwa kutunza utaratibu wake mbele ya mashambulio na uhamiaji huo.
 
 
== Other websites ==