Pinocchio (filamu ya 1940) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2) (Roboti: Imeongeza yi:פינאקיא (1940 פילם)
d Minor fix using AWB
Mstari 18:
'''''Pinocchio''''' ni filamu ya katuni ya Kimarekani ya mwaka wa 1940 iliyotayarishwa na [[Walt Disney]] na inatokana na hadithi ya [[Kiitalia]] "Le avventure di Pinocchio: ([[Mambo yalioyompata Pinokyo]]) ya [[Carlo Collodi]]. Kitabu hicho kiliwahi kutafsiriwa 1965 na [[Tanganyika Mission Press]] kwa [[Kiswahili]] na kuwa maarufu [[Afrika Mashariki]] kwa jina "Mambo yalioyompata Pinokyo".
 
Hii ni filamu ya pili kutolewa katika [[Walt Disney Animated Classics|mfululizo wa filamu za katuni za Walt Disney]], ilitengenezwa baada ya kupata mafanikio makubwa katika filamu ya awali ya ''[[Snow White and the Seven Dwarfs]] '' na ilitolewa katika makumbi na [[RKO Radio Pictures]] mnamo tar. 7 Februari, 1940.
 
Hadithi ya filamu hii inamuhusisha kikaragosi mmoja wa mbao anayeitwa [[Pinocchio]] (sauti ya [[Dickie Jones]]) ameletwa maishani na kichimbakazi cha buluu ([[Evelyn Venable]]), ambaye anamweleza kwamba anaweza kuwa kijana wa kweli iwapo atajibitisha kama ni "jasiri, mkweli, na si mchoyo". Hivyo kikaragosi huyo anaianza safari ili ili awe kijana wa kweli, ambamo kunatokea mashambulizi mengi wakati wa safari hiyo.
 
Ndani yake anakuja [[Aurelius Battaglia]], [[William Cottrell]], Otto Englander, [[Erdman Penner]], [[Joseph Sabo]], [[Ted Sears]], na [[Webb Smith]] kutoka katika kitabu cha Collodi. Matayarisho yake yalisimamiwa na [[Ben Sharpsteen]] na [[Hamilton Luske]], na mfululizo wa filamu uliongozwa na [[Norman Ferguson]], [[T. Hee]], [[Wilfred Jackson]], [[Jack Kinney]], na [[Bill Roberts]].
== Hadithi ==
 
== Hadithi ==
== Viungo vya Nje ==
* {{Official website|http://disney.go.com/vault/archives/movies/pinocchio/pinocchio.html}}