Mkoa wa Nyanga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza ca:Província de Nyanga
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
{{Unreferenced|date=DecemberDesemba 2009}}
[[Image:Gabon-Nyanga.png|right|175px|Mkoa wa Nyanga]]
'''Nyanga''' ni moja kati ya [[mikoa ya Gabon|mikoa]] tisa ya [[Gabon]]. Mji mkuu wa mkoa huu ni [[Tchibanga]], ambao una wakazi takriban 14,500 kwa mwaka wa 2004 (kidogo ni zaidi ya theluthi moja ya jumla la wakazi wa mkoani hapa). Nyanga ni mkoa uliopo kusini sana mwa Gabon na pia ni mkubwa, una wakazi wachache na una maendeleo machache vilevile katika mikoa yote tisa ya nchini Gabon. Mkoa umepakana na [[Ogooué-Maritime]] kwa upande wa kaskazini-magharibi, [[Ngounié]] kwa upande wa kaskazini, na [[Jamhuri ya Kongo|Kongo]] kwa upande wa kusini ([[Kouilou Department|Mkoa wa Kouilou]]) na kwa upande wa mashariki ni ([[Niari|Mkoa wa Niari]]).