Tofauti kati ya marekesbisho "Mkoa wa Estuaire"

1 byte removed ,  miaka 8 iliyopita
d
Minor fix using AWB
d (r2.7.3) (Roboti: Imeongeza ca:Província d'Estuaire)
d (Minor fix using AWB)
[[Image:Gabon Estuaire.png|right|175px|Estuaire Province]]
{{Unreferenced|date=DecemberDesemba 2008}}'''Estuaire''' ni moja kati ya [[Mikoa ya Gabon|mikoa]] tisa ya nchini [[Gabon]]. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 20,740. Mji mkuu wa mkoa huu ni [[Libreville]], ambayo pia ndiyo mji mkuu wa nchi. Mkoa umepewa hili kwa ajili ya [[Mlango wa Mto wa Gabon]], ambao ndiyo moyo wa mkoa huu.
 
Ukingo wa magharibi mwa Estuaire ni pwani ya [[Ghuba ya Guinea]]. Kwa upande wa kaskazini, Estuaire imepakana na [[Guinea ya Ikweta|Jamhuri ya Guinea ya Ikweta]]: [[Mkoa wa Litoral (Guinea ya Ikweta)|Mkoa wa Litoral]] kwa upande wa kaskazini-magharibi, na [[Mkoa wa Centro Sur]] kwa upande wa kaskazini-mashariki. Kwa nyumbani, mkoa umepakana na mikoa ifuatayo:
9,527

edits