Ghana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Minor fix using AWB
Mstari 32:
|population_estimate_rank = 48th
|population_estimate_year = 2009
|population_census =
|population_census_year =
|population_density_km2 = 99.9
|population_density_sq_mi = 258.8 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
Mstari 46:
|sovereignty_note = from the [[United Kingdom]]
|established_event1 = Declared
|established_date1 = 6 MarchMachi 1957
|established_event2 = Republic
|established_date2 = 1 JulyJulai 1960
|established_event3 = Current Constitution
|established_date3 = 28 AprilAprili 1992
|HDI = {{increase}} 0.553
|HDI_rank = 136th
Mstari 67:
}}
 
'''Jamhuri ya Ghana''' ni nchi iliyo Afrika Magharibi inayopakana na Côte d'Ivoire (Ivory Coast) katika upande wa magharibi, Burkina Farso upande wa kaskazini, Togo upande wa mashariki, na Ghuba ya Guinea upande wa kusini. Neno ''Ghana'' lina maana ya neno "Shujaa Mfalme,"<ref name="warriorking">Jackson, John G. ''Utangulizi Civilizations Afrika,'' 2001. Page 201.</ref> na lilikuwa chimbuko la jina “Guinea” (kupitia kwa Kifaransa ''Guinoye),'' ambalo limetumia kurejelea pwani ya Afrika Magharibi (na ambalo linaonekana kutumika katika Ghuba ya Guinea).
 
Ghana ilikaliwa katika enzi za kabla ya ukoloni na idadi ya watu wa kale hasa wa Falme za Akan, wakiwemo Waakwamu kwa upande wa mashariki, Himaya ya Ashanti ya bara na falme kadha wa kadha za Kifante na, pia falme zisizo za Kiakan kama Waga na Waewe waliokuwa pwani na bara. Biashara na nchi za Ulaya ilistawi baada ya kukutana kwao na Wareno katika karne ya 15, na Waingereza walianzisha nchi ya Gold Coast, chini ya himaya ya Uingereza, mnamo mwaka wa 1874.<ref name="colestablish">Maclean, Iain. ''Rational Choice na Uingereza Siasa: An Analysis of Rhetoric na ghiliba kutoka Peel kwa Blair,'' 2001. Page 76.</ref>
 
Nchi ya Gold Coast ilinyakua uhuru kutoka kwa Uingereza mnamo mwaka wa 1957, na ikawa taifa la kwanza la Afrika Kusini mwa Sahara (Sub-Saharan Africa) kufanya hivyo<ref name="independence">Petro N. Stearns na William Leonard LANGER. ''The Encyclopedia of World History: Ancient, Medieval, na ya kisasa, chronologically mpangilio,'' 2001. Kwanza 1050.</ref><ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta <!-- BOT GENERATED TITLE -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799/Ghana.html|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwptUKKy|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref><ref>[http://news.bbc.co.uk/2/hi/africa/country_profiles/1023355.stm ]</ref> Jina “Ghana” lilichaguliwa kwa taifa hili mpya ili kuashiria Himaya ya kale ya Ghana, ambayo kwa wakati mmoja ilienea katika sehemu kubwa ya Afrika Magharibi. Ghana pia ni mwanachama wa mashirika mbalimbali ya kimataifa yakiwemo Jumuiya ya Madola, Jumuiya ya Kiuchumi ya Afrika Magharibi, Umoja wa Afrika, na Umoja wa Mataifa. Ghana ni nchi ya pili kwa ukubwa baina ya nchi zinazozalisha mmea wa kakao ulimwenguni kote na pia ni kiambo cha Ziwa Volta, ambalo ndilo ziwa kubwa zaidi ulimwenguni la kuundwa na binadamu<ref>[http://geography.about.com/library/cia/blcghana.htm ]</ref>. Vilevile, Ghana ni nchi inayojulikana sana katika ulimwengu wa soka. Mnamo tarehe 16 Oktoba, 2009, Ghana lilikuwa taifa la kwanza la Kiafrika kushinda [[Kombe la Dunia la FIFA]] kwa walio chini ya umri wa miaka 20 (FIFA U-20 World Cup) kwa kushinda nchi ya Brazil kwa mabao 4 kwa 3 kupitia mikwanju ya penalti<ref>[http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/8311196.stm ]</ref>.
 
== Asili ya Jina ==
[[Picha:Ghana Map.jpg|left|thumb|200px|Ramani ya Ghana]] Neno ''Ghana'' lina maana ya Shujaa Mfalme na lilikuwa ni jina la heshima lililopewa wafalme wa Himaya ya Ghana nyakati za kale za Afrika Magharibi.<ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799/Ghana.html|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwptUKKy|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref> Kijiografia, Himaya ya Ghana inakadiriwa kuwa maili 500 (kilomita 800) {{Convert|500|mi|km}} kaskazini na magharibi mwa Ghana ya kisasa, na ilitawala majimbo katika eneo la Mto Sénégal na mashariki kuelekea Mito ya Niger, katika maeneo ya sasa ya Senegal, Mauritania na Mali. ''Ghana'' lilichaguliwa kuwa jina rasmi la nchi ya Gold Coast nchi hii iliponyakua uhuru mnamo tarehe 6 Machi, 1957; hata hivyo, Ghana haikuweza kutangaza uhuru wake kamili kutoka kwa Uingereza hadi tarehe 1 Julai, 1960 ambapo pia nchi ilianza kujulikana kama ''Jamhuri ya Ghana.''
 
== Historia ==
{{Main|Historia ya Ghana}}
 
Kuna ushahidi kutoka kwa maarifa ya mambo ya kale ambao unaonyesha kwamba watu wameishi katika eneo linalojulikana siku hizi kama Ghana kutoka karibu miaka ya 1500 Kabla ya Kristo(BC).<ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_8/Ghana.html#s66|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpviLJm|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref> Licha ya hayo, hakuna ushahidi wa kuonyesha kuwa wakazi hao wana uhusiano na wale wa eneo hili kwa sasa. Kwa mujibu wa mapokezi simulizi, mengi ya makabila ya Ghana leo kama vile watu wa chimbuko la makabila kadhaa kama [[Waakan]], [[Waga]] na [[Waewe]] walifika Ghana mnamo karne ya 13 AD.
 
Mengi ya maeneo ya Ghana yanajumuisha eneo lililokuwa la Himaya ya Ashanti, mojawapo ya falme zilizokuwa na ushawishi mkubwa katika eneo la Afrika Kusini mwa Sahara kabla ya enzi za ukoloni. Wahamiaji [[Waakan]] walihama kuelekea kusini na kuanzisha mataifa kadhaa likiwemo lile la kwanza la himaya kuu ya Akan ya Wabono, ambayo kwa sasa inajulikana kama eneo la Brong Ahafo nchini Ghana. Sehemu kubwa ya eneo la sasa la kusini na kati mwa Ghana ilikuwa imeungana chini ya Himaya ya Ashanti ya [[Waashanti]], tawi la Waakan wa karne ya 16.
 
[[Picha:Ashanti Yam Ceremony 1817.jpg|thumb|left|200px|Sherehe ya Waashanti ya viazi vikuu, karne ya 19 kwa mujibu wa Thomas E. Bowdich]]
Mstari 88:
Utawala wa [[Waashanti]] ilihudumu mwanzoni kama mtandao mlegevu kabla ya kuwa ufalme ulioungana huku ukiwa na urasimu ulioendelea na wenye uchanganuzi mkubwa uliokuwa na makao yake Kumasi. Inasemekana kuwa katika kilele chake, Waasantehene wangeweza kutuma askari 500,000 vitani na kuwa walikuwa na ushawishi wa kijeshi wa kiwango fulani juu ya majirani wake wote. Thuluthi moja ya Waashanti wote walikuwa watumwa.<ref>[http://www.britannica.com/blackhistory/article-24157 Utumwa.] [16] ^ Karibu Kwenye Encyclopaedia Britannica's Guide to Black History</ref> [[Waga walianzisha muungano wenye ufanisi mnamo 1500 na Wagonja, Wadagomba na Wamamprusi pia walipigania uwezo wa kisiasa katika miaka ya 1620.|Waga walianzisha muungano wenye ufanisi mnamo 1500 <ref name="encarta.msn.com">{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_8/Ghana.html#p78|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpwHCrq|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref> na Wagonja, Wadagomba na Wamamprusi pia walipigania uwezo wa kisiasa katika miaka ya 1620.<ref name="encarta.msn.com"/>]]
 
Mawasiliano ya awali ya Ulaya kutoka kwa Wareno, walioingia Ghana mnamo 1914, yalizingatia upatikanaji wa dhahabu. Wareno walitua kwanza katika jiji la pwani lililokuwa makazi ya ufalme wa [[Wafante]] na kuliita eneo hili ''[[Elmina,]]'' jina ambalo linamaanisha “mgodi” kwa Kireno. Mnamo mwaka wa 1481, Mfalme John II wa Ureno aliagiza Diogo d'Azambuja kujenga Kasri ya Elmina, ambayo ilikamilishwa mwaka uliofuata. Lengo lao lilikuwa kufanya ubadilishanaji wa dhahabu, pembe za ndovu na watumwa, ili kuimarisha mamlaka yao yaliyokuwa yanakua kwa kasi katika eneo hilo.
 
Kufikia mwaka wa 1598 Waholanzi walikuwa wameungana nao, na kujenga ngome katika maeneo ya Komenda na Kormantsi. Mnamo mwaka wa 1637, waliiteka Kasri ya Elmina kutoka kwa Wareno na vilevile Axim mnamo mwaka wa 1642 (Ngome ya Mtakatifu Anthony). Wafanyabiashara wengine kutoka Ulaya walijiunga nao kufikia miaka ya kati ya karne ya 17, hasa Waingereza, Wadenmarki na Waswiden. Wafanyabiashara Waingereza, waliovutiwa na rasilimali katika eneo hilo, waliliita ''Gold Coast,'' (Pwani ya Dhahabu), huku nao wanabiashara Wafaransa, wakivutiwa na mapambo waliyokuwa wakivaa watu wa pwani, wakiliita eneo la sehemu ya magharibi “Côte d'Ivoire", au Ivory Coast (pwani ya pembe za ndovu).
 
Zaidi ya ngome na kasri thelathini zilijengwa na wanabiashara Wareno, Waholanzi, Waingereza na Wadenmarki. Eneo la Gold Coast lilijulikana kwa karne nyingi kama ‘Kaburi la Mtu Mweupe’ kwa sababu wengi wa Wazungu kutoka Ulaya walioenda huko walikufa kutokana na malaria na magonjwa mengine ya eneo la hari.<ref>[http://www.america.gov/st/peacesec-english/2008/September/20080915145840dmslahrellek0.5556452.html Bush kumtakasa Strong Uongozi wa Rais wa Ghana Kufuor.] America.gov. Septemba 15, Septemba 2008.</ref> Baada ya Waholanzi kuondoka mnamo mwaka wa 1874, Uingereza iliiweka Gold Coast chini ya himaya yake. Kufuatia ushindi wa Uingereza mnamo mwaka wa 1896, hadi unyakuzi wa uhuru mnamo Machi 1957, eneo la Ghana ya sasa ghairi ya sehemu ya Volta Region (British Togoland), lilikuwa likijulikana kama Gold Coast.
 
Vita vingi vilitokea baina ya utawala wa kikoloni na baadhi ya mataifa ya eneo hilo vikiwemo Vita vya 1806 vya Ashanti-Fante na mapambano ya kudumu ya Waashanti dhidi ya Waingereza, ambayo yalikoma baada ya Vita vya Tatu baina ya Waashanti na Waingereza (the third Ashanti-British War) (1900-1901).<ref name="ReferenceA">[http://ca.encarta.msn.com/encyclopedia_761580620_3/Ashanti_Kingdom.html ] MSN Encarta. [http://www.webcitation.org/5kwpwoVQ8 Archived] 2009/10/31.</ref>. ] Hata chini ya utawala wa kikoloni machifu na watu walipinga mara kwa mara sera za Waingereza; hata hivyo, ushawishi wa kupinga ukoloni ulikolea baada ya Vita vya Pili vya Dunia. Mnamo mwaka wa 1947 chama kipya cha United Gold Coast Convention (UGCC) kilitoa wito wa “utawala wa kujitegemea katika wakati mfupi zaidi iwezekanavyo.”<ref>[http://books.google.com/books?id=T9io2oPOAXAC&amp;pg=PA92&amp;lpg=PA92&amp;dq=ugcc+ghana+self+governance&amp;source=bl&amp;ots=3TYg6W5eaA&amp;sig=q4U6m1yqQEXsQjAklzT4r06hS3I&amp;hl=en&amp;ei=fJNWSt3yCoSAMr_u2Z0I&amp;sa=X&amp;oi=book_result&amp;ct=result&amp;resnum=2 Historia ya Ghana - Google Books]</ref> Baada ya kuongezeka kwa maandamano mnamo 1948, wanachama wa chama cha United Gold Coast Convention walikamatwa, akiwemo Waziri Mkuu na Rais wa baadaye, Kwame Nkrumah. Baadaye, Nkrumah aliunda chama chake mwenyewe, the Convention People's Party (CPP) ambacho kiliongozwa na usemi ‘serikali ya kujitegemea sasa’ (self government now." Alianzisha kampeni ya ‘Vitendo Chanya’ na kupata ufuasi wa watu wa sehemu za mashambani na wa daraja la wafanyakazi.<ref name="ReferenceA"/>
 
[[Picha:Independence Arch - Accra, Ghana1.jpg|thumb|right|200px|Mnara wa Independence Arch, Ghana]]
Kwa mara nyingine Nkrumah alishikwa na kuzuiliwa kwa kuwa msimamizi wa chama ambacho kilisababisha ususiaji, migomo na vitendo vingine vya uasi wa raia. Baada ya kushinda wingi wa viti katika Bunge ya Kuunda Sheria mnamo 1952; hata hivyo Kwame Nkrumah aliachiliwa na kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa Maswala ya Serikali. Baada ya mazungumzo na Uingereza, hatimaye tarehe 6, Machi 1957 saa sita usiku, Kwame Nkrumah alitangaza Ghana kuwa “huru milele”.<ref name="ReferenceA"/>
 
Bendera iliyokuwa na rangi nyekundu, dhahabu, kijani kibichi na nyota nyeusi ilikuwa bendera mpya mnamo 1957. Bendera hii iliundwa na Theodosia Salome Okoh, na rangi nyekundu inawakilisha damu iliyomwagwa ili kupata uhuru, rangi ya dhahabu inawakilisha ukwasi wa madini wa Ghana, ile ya kijani kibichi inaashiria utajiri wa kilimo na ile nyeusi ni ishara ya Uhuru wa Waafrika.<ref>[http://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/republic/flag.php Ghana Bendera]</ref>
 
Huku ikiundwa kutoka kwa muungano wa maeneo ya Gold Coast na British Togoland kufuatia matokeo ya maono ya watu yaliyodhaminiwa na Umoja wa Mataifa mnamo 1956, Ghana ilikuwa nchi ya kwanza ya Afrika Kusini mwa Sahara kunyakua uhuru mnamo 1957.
 
[[Kwame Nkrumah, Waziri Mkuu wa kwanza na baadaye Rais wa nchi ya sasa ya Ghana, hakuwa tu kiongozi wa Kiafrika wa kupigana dhidi ya ukoloni ila alikuwa pia mtu aliyekuwa na ndoto ya muungano wa Afrika ambayo haingejipata katika ukoloni mamboleo.]] Alikuwa kiongozi wa serikali wa kwanza Afrika kukuza Muungano wa Waafrika (Pan-Africanism), wazo ambalo alilipata wakati wa masomo yake katika Chuo Kikuu Cha Lincoln lililo Pennsylvania (Marekani), wakati ambapo Marcus Garvey alikuwa anapata umaarufu kwa harakati zake za “Back to Africa Movement." Aliunganisha ndoto za Macus Garvey na zile za mwanachuo mashuhuri Mmarekani Mweusi W.E.B Du Bois ili kuandaa Ghana kisasa. Kanuni za Ghana za uhuru na haki, usawa na elimu ya bure kwa wote, bila kujali kabila, dini au mila, zinatokana na utekelezaji wa wazo la Pan-Africanism.
 
Ingawa lengo lake la muungano wa Afrika halikuwahi kuafikiwa, Osagyefo Dr. Kwame Nkrumah, kama ajulikanavyo sasa, alishiriki kwa kiwango kikubwa katika kuzinduliwa kwa Shirika la Umoja wa Afrika, ambalo lilifuatwa mnamo 2002 na Umoja wa Afrika (African Union). Kwa bahati mbaya, ingawa Nkrumah aliheshimika sana ng’ambo, hakuwa akipendwa katika maswala ya ndani ya nchi.<ref name="Kevin Shillington 575">{{Cite book|title=Encyclopedia of African history|author=Kevin Shillington|page=575}}</ref> Hakufeli tu kuanzisha uchumi wa viwanda, ila hata sera zake hukusu uchumi ziliishia kuifanya nchi ya Ghana kuwa maskini kuliko ilivyokuwa wakati wa ilipopata uhuru. Mafanikio yake yalikuwa kutambuliwa na raia wa Ghana wakati wa maadhimisho ya kuzaliwa Centenary wake na siku aliliweka kama likizo umma nchini Ghana.
 
Hatimaye Nkrumah aliondolewa mamlakani na jeshi alipokuwa ng’ambo mnamo Februari 1966, na mabadiliko hayo yalikaribishwa na wengi wa wakazi wa Ghana. Inaaminika na wengi wa wachanganuzi wa maswala ya kisiasa kwamba shirika la Marekani la Central Intelligence Agency (CIA) lilihusika katika mapinduzi hayo, lakini wazo hilo halijawahi kuthibitishwa.
 
Mfululizo wa baadaye wa mapinduzi kati ya 1966 na 1981 uliishia kwa kuingia mamlakani kwa Liuteni wa Jeshi la Wanahewa (Flight Lieutenant) Jerry Rawlings mnamo mwaka wa 1981. Mabadiliko haya yalisababisha kusimamishwa kwa katiba ya nchi mnamo 1981 na kupigwa marufuku kwa vyama vya kisiasa. Uchumi ulishuka sana punde baadaye, na Waghana wengi walihamia nchi zingine. Ingawa wengi wa Waghana waliohama walienda Nigeria, serikali ya Nigeria iliwarudisha Ghana karibu Waghana milioni moja mnamo mwaka wa 1983.<ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_10/Ghana.html|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpu3n3T|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref>
 
Punde baadaye, Rawlings aliafikiana na shirika la International Monetary Fund juu ya mkataba wa mpango wa maendeleo (structural development plan) na kubadili sera nyingi za awali za uchumi na hivyo, uchumi ukaanza kukua. Katiba mpya iliyorudisha mfumo wa siasa za vyama vingi ilitangazwa mnamo mwaka wa 1992, na Rawlings alichaguliwa kuwa Rais na tena mnamo mwaka wa 1996. Katiba ya mwaka wa 1992 ilimzuia kuwania kiti hicho kwa muhula wa tatu, kwa hivyo chama chake, National Democratic Congress, kilimchagua Makamu wake wa Rais, John Atta Mills, kuwania urais dhidi ya vyama vya upinzani. Huku akishinda uchaguzi wa mnamo 2000, John Kufuor wa Chama pinzani cha New Patriotic, aliapishwa kama Rais mnamo Januari 2001, na kumshinda tena Mills mwaka wa 2004; hivyo kuhuduma kama Rais kwa mihula miwili.
 
Mnamo mwaka wa 2009, John Atta Mills alichukua mamlaka huku kukiwa na tofauti ndogo sana ya kura 40,000 ambazo ni (0.46%) <ref>[http://www.modernghana.com/news/197296/1/bbc-opposition-leader-wins-ghana-poll.html BBC: kiongozi wa upinzani wins Ghana uchaguzi - modernghana.com / ghana uchaguzi]</ref> kati ya chama chake, National Democratic Congress, na kile cha New Patriotic Party, tukio hili likiwa la pili la ubadilishanaji wa mamlaka kutoka kwa kiongozi mmoja aliyechaguliwa kihalali kwa mwingine, na hivyo kuimarisha hadhi ya Ghana kama demokrasia iliyo imara.<ref>{{Cite news |url=http://www.guardian.co.uk/world/2009/jan/08/world-news-in-brief |title=Thousands celebrate as new president takes office |work=[[The Guardian]] |date=8 JanuaryJanuari 2009 }}</ref>
 
[[Picha:Ghana regions named.png|thumb|right|180px|Maeneo ya Ghana]]
Mstari 136:
 
=== Idadi ya wakazi katika majiji makubwa ===
 
{| class="wikitable" border="3"
|-
Line 142 ⟶ 141:
!Idadi ya Wakazi
|-
| [[Accra]]
| 2,096,653
|-
| [[Kumasi]]
| 1,604,909
|-
Line 151 ⟶ 150:
| 390,730
|-
| [[Takoradi]]
| 260,651
|-
| [[Tema]]
| 229,106
|-
| [[Teshie]]
| 154,513
|-
Line 163 ⟶ 162:
| 153,900
|-
| [[Cape Coast]]
| 200,204
|-
| [[Obuasi]]
| 147,613
|-
| [[Dunkwa-On-uffin]]
| 108,482
|}
Line 188 ⟶ 187:
'''Siasa:''' Vyama vya kisiasa vilihalalishwa katikati mwa mwaka wa 1992 baada ya kupigwa marufuku kwa miaka kumi. Kuna vyama vingi vya kiasisa chini ya Jamhuri ya Nne; hata hivyo vile vikubwa ni National Democratic Congress kilichoshinda uchaguzi wa urais na ubunge mnamo 1992, 1996 na 2008; New Patriotic Party, chama kikubwa cha upinzani kilichoshinda uchaguzi wa mwaka wa 2000 na ule wa 2004; People’s National Convention, na Convention People’s Party, ambacho kilichukua mahali pa chama cha awali cha Kwame Nkrumah kilichokuwa na jina lilo hilo.<ref name="cs"/>
 
'''Mahusiano ya Kigeni:''' Tangu unyakuzi wa uhuru, Ghana imefuata kwa dhati mwelekeo wa kutojiunga na upande wa kikapitalisti au ule wa kikomunisti (nonalignment) na pia siasa zinazopendelea siasa za umoja wa Afrika (Pan-Africanism); mawazo ambayo yanahusishwa na rais wa kwanza, Osagyefo Dr. Kwame Nkrumah. Nchi ya Ghana inapendelea ushirikiano wa kimataifa na wa kikanda wa kisiasa na wa kiuchumi, na ni mwanachama mwenye mashuhuri wa Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika.{{Citation needed|date=JulyJulai 2009}}
 
Wanadiplomasia na wanasiasa wengi Waghana wana vyeo katika mashirika ya kimataifa. Hawa ni pamoja na mwanadiplomasia Mghana na Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, Jaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai Akua Kuenyehia, na rais wa zamani Jerry Rawlings, ambaye alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Mataifa ya Afrika Magharibi (Economic Community of West African States).<ref name="cs"/>
Line 194 ⟶ 193:
== Uchumi ==
[[Picha:50 cedis.jpg|thumb|right|200px|Sidi ya Ghana (Ghanaian Cedi)]]
Ikiwa imejaliwa sana na maliasili, nchi ya Ghana ina mapato yanayokadiriwa kupata kila mtu (per capita output) yaliyo mara mbili yakilinganishwa na yale ya nchi zilizo maskini zaidi za Afrika Magharibi. Hata hivyo, Ghana imebakia kutegemea kwa kiwango fulani biashara na usaidizi wa kimataifa na vilevile shughuli za uwekezaji kutokana na Waghana wanaoishi nchi za ng’ambo. Karibu 28% ya wakazi wanaishi chini ya mstari wa kimataifa wa umaskini wa dola za kimarekani 1.25 kwa siku,<ref>''[http://hdr.undp.org/en/media/HDI_2008_EN_Tables.pdf fahirisi ya Maendeleo ya Binadamu,]'' Jedwali 3: Binadamu na umaskini wa kipato, s. 35. Rudishwa tarehe 1 Juni 2009</ref> na kwa mujibu wa wa Benki ya Dunia, kisio la mapato ya kila mtu (per capita income) ya Ghana yamekuwa mara dufu lakini kwa shida kwa miaka 45 iliyopita.<ref>{{Cite web |url=http://www.cnn.com/2009/WORLD/africa/07/10/ghana.obama/index.html|work=CNN|title=Obama's Ghana trip sends message across Africa|date=10 JulyJulai 2009}}</ref>
 
Nchi ya Ghana, ikijulikana kwa dhahabu yake katika enzi za ukoloni, bado ni kati ya wazalishaji wakuu ulimwenguni wa dhahabu. Mauzo yake mengine nje ya nchi kama vile kakao, mbao, umeme, almasi, bauxiti, na manganisi ni uzalishaji mkuu wa fedha za kigeni.<ref name="twzwxn">[https: / / cia.gov / cia / publications / factbook / geos / gh.html The World Factbook]</ref> Kiwanja cha mafuta kinachoripotiwa kuwa na hadi pipa bilioni 3 (480,000,000 m3 {{Convert|3|Goilbbl|m3}} za mafuta mepesi kiligunduliwa mnamo mwaka wa 2007.<ref>[http://web.archive.org/web/20071226200944/http://news.yahoo.com/s/ap/20071222/ap_on_re_af/ghana_oil_discovery_3 kiongozi Ghana: Oil akiba saa 3B Mapipa - Yahoo! News]</ref> Utafutaji wa mafuta bado unaendelea na kiasi cha mafuta kinaendelea kuongezeka.<ref>[http://www.rigzone.com/news/article.asp?a_id=57319 RIGZONE - Kosmos Hufanya Pili Discovery Offshore Oil Ghana]</ref>
[[Picha:Sunyani Cocoa House.jpg|thumb|left|200px|Jumba la Kakao la Sunyani]] Bwawa la Akosombo, ambalo lilijengwa juu ya Mto Volta mnamo mwaka wa 1965 linatoa umeme unaozalishwa na maji kwa nchi ya Ghana na nchi zinazoizunguka.
 
Nguvukazi ya Ghana katika mwaka wa 2008 ilikuwa jumla ya watu milioni 11.5 <ref name="cia.gov">[https: / / www.cia.gov / library / publications / the-dunia-factbook / geos / gh.html] {{dead link|date=AugustAgosti 2009}}</ref> Uchumi unaendelea kutegemea sana kilimo ambacho huchangia 37% ya Pato la Taifa na kutoa ajira kwa kwa 56% ya watu wanaofanya kazi,<ref name="cia.gov"/> hasa wenye ardhi ndogo. Sekta ya viwanda ni sehemu ndogo tu ya uchumi wa Ghana iliyochangia kwa ujumla 7.9% ya Pato la Taifa mnamo 2007.<ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_5/Ghana.html|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpvAZNH|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref>
 
Sera za kiuchumi zisizofaa za serikali za kijeshi zilizopita na masharti ya vikosi vya kulinda usalama katika maeneo ya kanda vimechangia mfumuko katika fedha za nakisi, kushuka thamani kwa Sidi, na kuongezeka kwa kutoridhika kwa umma katika maswala ya hatua za kupunguza ugumu wa maisha. Hata hivyo, Ghana inabakia kuwa mojawapo baina ya nchi za Afrika nzima ambazo zina ustawi wa kiuchumi.
 
Mnamo Julai 2007, Benki ya Ghana ilianzisha shughuli ya kugeuza sarafu, kutoka kwa Sidi (¢) hadi kwa sarafu mpya, Sidi ya Ghana (GH¢). Kiwango cha ubadilishanaji ni Sidi moja ya Ghana kwa kila Sidi 10,000. Benki ya Ghana ilizindua kampeni kabambe katika vyombo vya habari ili kuelimisha umma juu ya mageuzo haya.
 
Sarafu mpya ya Sidi ya Ghana iko imara kwa kiwango kikubwa na katika mwaka wa 2008 ilibadilishwa kwa ujumla kwa thamani ya dola moja ya marekani kwa Sidi 1.1 ya Ghana.<ref name="cia.gov"/>
Kodi ya Ongezeko la Thamani ni kodi ya matumizi itozwayo nchini Ghana. Utaratibu huu wa kodi ambao ulianza mnamo 1998 ulikuwa wa kiwango kimoja lakini tangu Septemba 2007 utaratibu wa viwango kadhaa ulizinduliwa.
 
Mnamo 1998, kiwango cha kodi kilikuwa ni 10% na na kilirekebishwa mnamo mwaka wa 2000 na kuwa 12.5%. Hata hivyo baada ya kupitishwa kwa Sheria ya 734 (Act 734) ya mwaka 2007, kodi ya usawa ya 3% (a 3% VAT Flat Rate Scheme (VFRS) ) ilianza kufanya kazi kwa sekta ya usambazaji wa rejareja. Hii inawezesha wauzaji wa rejareja wa bidhaa zinazotozwa ushuru chini ya Sheria ya 546 (Act 546) kotoza ushuru wa pambizoni wa 3% kwa mauzo yao na kuhesabu ushuru huu pamoja na ule wa VAT. Hii inanuia kurahisisha utaratibu wa uchumi na kuongezeka kwa maafikiano. {{Citation needed|date=AugustAgosti 2008}}
 
== Jiografia ==
Line 215 ⟶ 214:
[[Picha:Beach with palms Ghana.jpg|thumb|left|200px|Ufukoni mwa Ghana]]
[[Picha:Elefanten Mole National Park.jpg|thumb|right|Ndovu katika Hifadhi ya Kitaifa ya Mole]]
Ghana ni nchi ambayo inapatikana katika Ghuba ya Guinea, nyusi chache kaskazini mwa Ikweta, jambo ambalo linaipa nchi hii hali ya joto. Nchi hii inapatikana katika eneo la kilomita mraba 238,500 (maili mraba 92,085){{Convert|238500|km2|sqmi|0|abbr=on}}. Eneo hili limezungukwa na Togo kwa upande wa mashariki, Cote d’Ivoire upande wa magharibi, Burkina Faso upande wa kaskazini na Ghuba ya Guinea (Bahari ya Atlantiki) upande wa kusini. [[Laini ya Greenwich Meridian hupita ndani ya Ghana, katika jiji la viwanda la Tema.]] Kijiografia Ghana inapatikana karibu zaidi ya sehemu ya “katikati” mwa ulimwengu kuliko nchi yoyote ile ingawa sehemu halisi ya katikati, (0°, 0°) inapatikana katika Bahari ya Atlantiki kwa makadirio kilomita 614 (maili 382) {{Convert|614|km|mi|0|abbr=on}} kusini mwa Accra, Ghana, katika Ghuba ya Guinea.<ref>[http://en.wikipedia.org/wiki/Extreme_points_of_Earth Extreme pointi ya Dunia - Wikipedia, kamusi elezo huru]</ref>
 
Nchi hii ina maeneo tambarare, vilima vya chini na mito michache. Nchi ya Ghana inaweza kugawanywa katika maeneo matano tofauti ya kijiografia. Eneo la pwani ni sehemu ambayo ni ya chini na iliyo na ufuo wa mchanga huku ikipakana na koko na kukingamana na mito na vijito kadha wa kadha huku sehemu ya kaskazini ikiwa na maeneo ya juu yaliyo tambarare. Eneo la kusini magharibi na kusini ya kati mwa Ghana ni sehemu iliyoinuka sawa na pana yenye misitu ikiwa na vilima vya Ashanti na eneo sawa na pana (plateau) la Kwahu na safu ya vilima vya Akuapim-Togo vinapatikana kwenye mpaka wa mashariki mwa nchi. Bonde la Volta linachukua eneo la kati mwa Ghana. Sehemu ya juu zaidi nchini Ghana ni Mlima Afadjato ulio na urefu wa mita 855 (futi 2,904){{Convert|885|m|ft|0|abbr=on}} na unaopatikana kwenye safu ya vilima vya Akwapim-Togo.
Hali ya hewa ni ile ya hari. Kanda ya pwani ya mashariki ni ya joto na iliyokauka (angalia Dahomey Gap); pembe ya kusini magharibi, huwa na joto jingi na unyevu hewani; huku sehemu ya kaskazini ikiwa yenye joto jingi na iliyokauka. Ziwa Volta, ziwa lisilo la asili kubwa zaidi ulimwenguni, linaenea kupitia katika mafungu makubwa mashariki mwa Ghana na ndicho chanzo kikuu cha vijito vingi kama vile vya Oti na Afram.
 
Kuna misimu miwili mikuu nchini Ghana, masika na kiangazi. Kaskazini mwa Ghana huwa na msimu wa masika kutoka Machi hadi Novemba huku sehemu ya kusini, ukiwemo mji mkuu wa Accra, ikiwa na masika kutoka Aprili hadi Novemba katikati.
Kusini mwa Ghana kuna misitu ambayo daima ni ya kijani kibichi na ile ambayo hupoteza majani yake wakati fulani wa mwaka ikiwa na miti kama mikangazi, odumu na mipingo. Sehemu hii inayo pia mingi ya mitende ya mafuta na mikoko. Miti ya Shea, mibuyu na mikakaya hupatikana kwa kawaida katika maeneo ya Volta na kaskazini mwa nchi.
 
Line 227 ⟶ 226:
[[Picha:Ghana Larabanga mosque01.jpg|thumb|right|160px|Msikiti wa Larabanga, uliojengwa katika karne ya 13, Larabanga]]
[[Picha:Wesley Methodist Cathedral, Kumasi, Ghana.jpg|thumb|right|160px|Kanisa la Wesley Methodist Cathedral, Kumasi]]
Nchi ya Ghana ina idadi ya watu inayokisiwa kuwa milioni 24. Ghana ni kiambo cha zaidi ya makabila 100 tofauti. Kwa bahati nzuri, nchi ya Ghana haijashuhudia migogoro ya kikabila ambayo imesababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe katika nchi nyingi za Kiafrika<ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta <!-- BOT GENERATED TITLE -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_2/Ghana.html|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpue2eM|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref>. Lugha rasmi ni Kingereza; hata hivyo, Waghana wengi pia huzungumza kwa kiasi lugha moja ya kabila.
Makabila nchini Ghana ni Akan (ambalo linajumuisha Fante, Akyem, Ashanti, Kwahu, Akuapem, Nzema, Bono, Akwamu, Ahanta na makabila mengine) 49.3%, Mole-Dagbon 15.2%, Ewe 11.7%, Ga-Dangme (likijumuisha Ga, Adangbe, Ada, Krobo na makabila mengine) 7.3%, Guan 4%, Gurma 3.6%, Gurunsi 2.6%, Mande-Busanga 1%, makabila mengine 1.4%, mengine (Hausa, Zabarema, Fulbe) 1.8% (sensa ya 2000).
Kwa mujibu wa sensa ya serikali ya 2000, migawiko ya kidini ni: Wakristo 69%, Waislamu 16%, imani ya Kiafrika 15%<ref>[http://www.state.gov/g/drl/rls/irf/2007/90100.htm 2007 Report on International Religious Freedom - Ghana]</ref>.
 
=== Lugha ===
Ingawa wataalamu wengine wanasema kwamba zaidi ya lugha na lugha ndogo 250 huzungumzwa nchini Ghana, ''Ethnologue'' inaorodhesha 79 tu (angalia pia [[orodha ya lugha za Ghana]]). Lugha ya Kingereza ndiyo lugha rasmi na hutumika sana katika maswala ya serikali na biashara. Lugha hii vilevile ndiyo hutumika katika mafundisho ya kielimu. Lugha za kiasili za Ghana zimegawanywa katika jamii mbili ndogo za kilugha kutokana na jamii ya lugha ya Niger-Congo. Lugha za jamii ndogo ya Kwa zinapatikana zaidi katika maeneo ya kusini mwa Mto Volta, huku zile za jamii ya Gur zikipatikana katika eneo la kaskazini. Kikundi cha Kwa, lugha ambayo huzungumzwa na takribani 75% ya wakazi wa nchi, kinajumuisha lugha za Akan, Ga-Dangme na Ewe. Kikundi cha Gur kinajumuisha lugha za Gurma, Grusi, na Dagbani.<ref>{{Cite book|title=Ghana: A Country Study|editor=LaVerle Berry|year=1995|publisher=Federal Research Division, Library of Congress|isbn=0844408352|url=http://lcweb2.loc.gov/frd/cs/ghtoc.html|pages=81–82}}</ref>
 
Lugha tisa zina hadhi ya kuwa lugha zinazodhaminiwa na serikali: Akan, hasa Ashanti Twi, Fanti, Akuapem Twi, Akyem, Kwahu, Nzema; Dagaare/Wale, Dagbani, Dangme, Ewe, Ga, Gonja na Kasem. Ingawa si lugha rasmi, Hausa ndiyo lugha ya mawasiliano inayozungumzwa na Waislamu wa Ghana<ref>[http://en.wikipedia.org/wiki/Hausa_language Hausa lugha - Wikipedia, kamusi elezo huru]</ref> ambao ni 16% ya wakazi.
 
Line 241 ⟶ 240:
== Watu na Utamaduni ==
Ghana ni nchi iliyo na makabila mbalimbali; kwa hivyo ni mchanganyiko wa tamaduni wa makabila yake yote, Ashanti, Fante, Akyem, Kwahu, Ga, Ewe, Mamprusi na Dagomba, baina ya mengine. Jambo hili linadhihirika katika upishi, sanaa na desturi ya mavazi ya Ghana.
Maadhimisho ya tamasha nchini Ghana ni sehemu muhimu ya utamaduni wa Ghana na kuna tamasha nyingi kama vile Homowo, Odwira, Aboakyer, Dodoleglime na Sandema baina ya zingine. Ibada na mila kadha wa kadha hufanywa wakati wote wa mwaka katika sehemu mbali mbali za nchi, zikiwemo zile za kuzaliwa, ibada za mpito maishani kama vile kubalehe, ndoa na kifo.
 
=== Michezo ===
[[Picha:Stadium tamale2.jpg|thumb|right|200px|Uwanja wa michezo wa Tamale]]
[[Picha:Vida Anim Berlin 2009.jpg|thumb|left|100px|Vida Anim, mwanamichezo Mghana]]
Soka ndiwo mchezo ulio na umaarufu zaidi nchini.
Timu za kitaifa za soka ya wanaume zinajulikana kama The Black Stars, the Black Satellites na the Black Starlets na timu hizi hushiriki katika michuano mingi ikiwemo ile ya [[Kombe la Mataifa ya Afrika]], Kombe la Dunia la FIFA na Kombe la Dunia la FIFA kwa walio chini ya miaka 20. Timu ya the Black Satellites ilishinda Kombe la Dunia la FIFA kwa walio chini ya miaka 20 mnamo 2009 baada ya kushinda timu ya Brazili ya Seleção. Kuna timu za soka kadhaa nchini Ghana za kutajika zaidi zikiwa Accra Hearts ya Oak SC na Asante Kotoko baina ya zingine. Baadhi ya wachezaji wa soka wa Ghana wanaojulikana katika daraja ya kimataifa au waliopata ufanisi katika soka ya Ulaya ni Abedi Pele, Ibrahim Abdul Razak, Tony Yeboah, Anthony Annan, John Paintsil, Asamoah Gyan, Samuel Osei Kuffour, Richard Kingston, Sulley Muntari, Laryea Kingston, Stephen Appiah, Andre Ayew, Emmanuel Agyemang-Badu, Dominic Adiyiah na Michael Essien.
Line 261 ⟶ 260:
[[Picha:Axatse Ghana.jpg|thumb|right|100px|Axatse]]
 
Nchi ya Ghana ina aina nyingi ya muziki wa kitamaduni na wa kisasa. Midundo hii hutofautiana kutoka kabila moja hadi jingine na eneo moja hadi lingine. Muziki wa Ghana unajumuisha aina nyingi tofauti za vyombo vya muziki kama vile ngoma za talking drum ensembles, zeze ya goje na kinubi cha koloko, muziki wa jumba la mfalme, ikiwemo miziki ya Waakan wa Atumpan, wa Waga wa mitindo ya Kpanlogo, na marimba ya gogo itumikayo katika muziki wa Waasonko. Aina za muziki ambazo zinajulikana zaidi kutoka Ghana ni Afro-jazz ambayo ilifumbuliwa na msanii Mghana Kofi Ghanaba.<ref>{{Cite news|url=http://allafrica.com/stories/200902120888.html|title=Ghana: Kofi Ghanaba - Influential Drummer Who Emphasised the African Origins of Jazz|date=12 FebruaryFebruari 2009|publisher=Ghanaian Chronicle|accessdate=2009-05-30}}</ref>
na aina ya awali zaidi ya muziki wa kidunia inayoitwa Highlife. Highlife ni muziki uliochimbuka katika miaka ya mwisho ya 1800 na miaka ya mwanzo ya 1900 na kuenea kote Afrika Magharibi hasa Sierra Leone na Nigeria. Katika miaka ya 1900 aina mpya ya muziki ilizinduliwa na vijana huku ikiunganisha jinsi za Highlife, Afro-reggae, Dancehall na Hiphop. Mchanganyiko huu huitwa Hiplife. Wasanii wa Ghana kama vile mwimbaji wa R&amp;B na Soul Rhian Benson, mwimbaji wa Highlife Kojo Antwi na msanii wa rap Tinchy Stryder (Kwasi Danquah) wamekuwa na ufanisi wa kimataifa.
 
=== Ngoma ===
 
Ngoma (densi) ya Ghana ina tofauti mithili ya muziki wake. Kila kabila lina ngoma zake za kitamaduni na kuna ngoma tofauti tofauti kwa hafla tofauti tofauti. Kuna ngoma za mazishi, sherehe za maadhimisho, usimulizi wa hadithi, sifa na kuabudu na kadhalika. Baadhi ya ngoma hizi ni:
 
'''Bamaya'''
Ngoma hii huchezwa na watu wa eneo la kaskazini mwa Ghana. Inasimulia hekaya ya wakati wa ukame mkubwa. Miungu iliwaambia watu kuwa ukame huo ulikuwa umeletwa na jinsi wanaume walikuwa wakiwakandamiza na kuwatweza wanawake. Ilisema pia kwamba ukame ungeondolewa tu pale wanaume wangejizusha na kuchukua majukumu waliyokuwa wamewatwika wanawake kwa kuvaa marinda na kushiriki katika ngoma hii. Wanaume walipofanya hivi, mvua ilianza kunyesha. Kwa sasa ngoma hii huchezwa wakati wa mavuno katika eneo la kaskazini magharibi mwa Ghana na wanaume pamoja na wanawake wa Dagbani.
[[Picha:Dance performance in Ghana.jpg|thumb|right|200px|Wacheza ngoma wa Ghana]]
'''Adowa'''
Ngoma ya watu wa Ashanti wa Ghana. Ngoma hii inatajika hasa kwa madaha na weledi wa mzunguko wa wachezaji. Upigaji ngoma pia unasifika kwa weledi wa mfuatano wa sauti zinazochanganyika na ngoma mbili za atumpan ambazo zinatumika kama ngoma za kuongoza au ngoma simamizi. Ngoma hii ilikuwa awali ikichezwa katika mazishi, lakini kwa sasa inachezwa pia katika tamasha za kila mwaka na mikusanyiko ya kijamii.
 
'''Kpanlongo'''
huchezwa na watu wa Ga wa Ghana. Ngoma hii ya Kpanlongo ambayo mara nyingi huitwa “ngoma ya vijana,” ilianza kuchezwa punde tu baada ya unyakuzi wa Uhuru wa Ghana kama aina ya muziki wa burudani jijini Accra. Kpanlongo huchezwa kwa sasa kwa matukio yanayohusu maisha, tamasha na mikutano ya kisiasa.
 
'''Klama'''
Huu ni muziki na ngoma ambayo inahusishwa na ibada za kubalehe kati ya watu wa Krobo wa Ghana. Inasisitiza kusonga kwa madaha kwa mikono na miguu. Huku wakipiga hatua ndogo kuambatana na muziki na wakigeuza vichwa kwa utaratibu kuangalia chini, wacheza ngoma huwa mfano wa madahiro tulivu. Tofauti baina ya hatua za wachezaji zinanuiwa kuonyesha uzuri wa wacheza ngoma. Mara kwa mara, wachumba wanaotazama ngoma hii kutoka pembeni huzuru jamii ya msichana baada ya sherehe kwa madhumuni ya kumposa msichana huyo.
 
Line 283 ⟶ 281:
[[Picha:Miss Ghana 08 Frances Takyi Mensah.jpg|thumb|left|120px|Miss Ghana 2007]]
{{Main|Media of Ghana}}
Vyombo vya habari vya Ghana ni mojawapo ya vile vilivyo na uhuru zaidi barani Afrika. Hapo awali, vilikuwa vimewekewa vizuizi vingi wakati wa mfululizo wa mapinduzi ya serikali na viongozi wa jeshi. Sura ya 12 ya katiba ya 1992 ya Ghana inatoa hakikisho la uhuru na kujisimamia kwa vyombo vya habari huku Sura ya 2 ikizuia uthibiti.<ref name="gov">[http://www.ghana.gov.gh/ghana/constitution_republic_ghana.jsp Katiba ya Ghana,] ''Serikali ya Ghana.''</ref>
 
Baada ya kujinyakulia uhuru, serikali na vyombo vya habari vimekuwa mara kwa mara vikiwa na uhusiano ulio na mvutano, huku mashirika ya kibinafsi yakifungwa wakati wa mapinduzi ya kijeshi na sheria kali ili kuzuia ukosoaji wa serikali.<ref name="Anokwa">Anokwa, K. (1997). Katika ''Press Freedom na Mawasiliano katika Afrika.'' Erbio, F. &amp; Jong-Ebot, W. (Eds.) Africa World Press. ISBN 978-0-86543-551-3.</ref> Uhuru wa vyombo vya habari ulirejeshwa mnamo mwaka wa 1992, na baada ya uchaguzi wa 2000 wa John Kufuor mivutano kati ya vyombo vya habari vya kibinafsi na serikali ilipungua. Kufuor alikuwa mtetezi mkubwa wa uhuru wa vyombo vya habari na alifuta sheria ya masingizio, ingawa alisisitiza kuwa ni lazima vyombo vya habari vifanye kazi kwa uwajibikaji.<ref name="pr">[http://www.pressreference.com/Fa-Gu/Ghana.html Ghanian Media,] ''Press Reference.''</ref> Vyombo vya habari vya Ghana vimeelezwa kuwa “baadhi ya vile visivyo na uthibiti mkubwa na serikali mwingi” barani Afrika, huku vikifanya kazi vikiwa na masharti machache mno kwa vyombo vya habari vya kibinafsi. Vyombo vya habari vya kibinafsi mara kwa mara hukosoa sera za serikali.<ref name="bbc">[http://news.bbc.co.uk/1/hi/world/africa/country_profiles/1023355.stm#media BBC Country Profile: Ghana,] [[BBC News.|''BBC News.'']]</ref>
Vyombo vya habari vilifanya kazi kwa bidii wakati wa uchaguzi wa rais wa Ghana wa mwaka wa 2008, na Chama cha Wanahabari wa Ghana (Ghanaian Journalists Association (GJA)) kilimpongeza John Atta Mills kwa ushindi wake, huku kikinuia kukuza uhusiano mwema baina ya vyombo vya habari na serikali.<ref>[http://news.myjoyonline.com/politics/200901/24923.asp atta GJA gratulerar Rais Mills,] ''Joy Radio,'' Januari 11, Januari 2009.</ref>
 
== Elimu ==
{{Main|Education in Ghana}}
{{Contradict-other|Education in Ghana|date=JulyJulai 2009}}
[[Picha:Ucc.sci.nc.jpg|thumb|left|200px|Chuo Kikuu cha Cape Coast]]
Kiwango cha kujua kusoma na kuandika kwa watu wazima kilikuwa 65% mnamo 2007, huku wanaume wakiwa 71.7% na wanawake wakiwa 58.3%. Nchi ya Ghana ina mfumo wa elimu ya msingi wa miaka 6 kuanzia umri wa miaka sita, na, chini ya mageuzi ya elimu yaliyotekelezwa mnamo 1987 na kurekebishwa mnamo 2007, watoto huingia katika mfumo wa miaka mitatu wa elimu ya upili ya daraja la chini. Mwishoni mwa mwaka wa tatu katika shule ya upili ya Junior High, kuna mtihani wa lazima unaojulikana kama Basic Education Certificate Examination (BECE). Wale wanaoendelea na masomo ni lazima wamalize masomo ya miaka mitatu ya shule ya upili ya daraja ya juu (senior high school - SHS) na kufanya mtihani wa kukubaliwa kuingia katika masomo ya chuo kikuu au taasisi yoyote ile.
 
Kwa sasa, Ghana ina shule za msingi 21,530, shule za upili za daraja ya chini 8,850, shule za upili za daraja ya juu 900, vyuo vya mafunzo vya umma, 52<ref name="nab.gov.gh">http://www.nab.gov.gh/nabsite/downloads/ACCREDITED% 20TERTIARY% 20INSTITTUION% 20latest.pdf</ref>, vyuo vya mafunzo vya kibinafsi, 5<ref name="nab.gov.gh"/> vyuo vya elimu ya sanaa, 5<ref name="nab.gov.gh"/> taasisi za umma ambazo si vyuo vikuu, 4<ref name="nab.gov.gh"/> zisizo chuo kikuu Msingi umma taasisi, 8<ref name="nab.gov.gh"/> vyuo vikuu 4 na zaidi ya taasisi za kibinafsi 45.<ref name="nab.gov.gh"/> Wengi baina ya Waghana wanaweza kupata huduma za elimu ya msingi na ya upili kwa urahisi. Idadi hizi zinaweza kutofautishwa na zile za chuo kikuu kimoja tu na shule chache tu za upili na za msingi zilizokuwepo wakati wa kujinyakulia uhuru mnamo 1957. Gharama ya nchi ya Ghana kwa elimu imekuwa kati ya asilimia 28 na 40 ya bajeti yake ya mwaka katika mwongo mmoja uliopita. Mafunzo yote hufanywa kwa lugha ya Kingereza ambayo ndiyo lugha rasmi ya Ghana, na hufanywa na walimu Waghana waliohitimu.
[[Picha:ACHIMOTA SCHOOL.jpg|thumb|left|200px|Shule ya Achimota]]
[[Picha:Ghana students.jpg|thumb|right|160px|Watoto wa shule Waghana]]
Line 300 ⟶ 298:
Masomo yanayofunzwa katika Shule ya Msingi au ya Mwanzo ni pamoja na Kingereza, Lugha na Utamaduni wa Ghana, Hisabati,
masomo ya maswala ya Mazingira, Masomo ya Kijamii na Kifaransa kama lugha ya Tatu, yakiongezwa masomo ya Sayansi Jumuishi au ya Ujumla, masomo ya mwanzo ya Ustadi wa Ufundi (Pre-vocational Skills and Pre-technical skills) Elimu ya Dini na Maadili na shughuli za utendaji kama vile Muziki, Ngoma na Elimu ya Mazoezi ya Viungo. Mtaala wa daraja la upili la Senior High una masomo ya Lazima na yale ya Kuchagua. Wanafunzi wanapaswa kuchukua masomo manne ya lazima ya Lugha ya Kingereza, Hisabati, Sayansi ya Ujumla (yakiwemo masomo ya Sayansi, Kilimo na Masomo ya maswala ya Mazingira) na Masomo ya Kijamii (uchumi, jiografia, historia na serikali). Wanafunzi wa shule ya upili vilevile hufanya masomo matatu ya kuchaguliwa
kutokana na masomo matano ya: Mtaala wa Kilimo, Mtaala wa Kijumla (chaguo la Sanaa au Sayansi), Mtaala wa somo la Biashara, Mtaala wa Ufundi (Vocational Programme and Technical Programme).<ref>http://www.tobeworldwide.org/index.php?option=com_docman&amp;task=doc_view&amp;gid=4</ref> Mbali na shule za msingi na za upili zinazofuata mfumo wa elimu wa Ghana, kunazo shule za kimataifa kama vile Ghana International school, Lincoln Community School na SOS-Hermann Gmeiner International College ambazo hufuata mfumo wa International Baccalaureat, Advanced Level General Certificate of Education na International General Certificate of Secondary Education (IGCSE).
 
Huku ikiwa na asilimia 83 ya watoto wake shuleni, kwa sasa nchi ya Ghana ni baina ya nchi zilizo na viwango vya juu zaidi vya uandikishaji shuleni katika eneo la Afrika Magharibi.<ref>[http://www.theglobeandmail.com/news/world/a-fragile-island-of-stabilityin-a-sea-of-turbulence/article1214628/ ukurasa huu unapatikana kwa GlobePlus abonnenter]</ref> Uwiano wa wasichana na wavulana katika ujumla wa mfumo wa elimu ni 1:0.96, ambao kwa nchi ya Afrika Magahribi, ni mafanikio makubwa.<ref name="news.myjoyonline.com">[http://news.myjoyonline.com/features/200907/32516.asp Ghana News:: '''Obama:''' Nini ajenda kwa ajili ya elimu nchini Ghana? ::: Breaking News | News in Ghana | features]</ref> Kadiri ya watoto 500,000 hawaendi shuleni kwa sababu ya ukosefu wa mapato ya kuwezesha ujenzi wa shule, kutoa vitabu vya kusoma vya kutosha na kutoa mafunzo kwa walimu wapya.<ref name="news.myjoyonline.com"/>
Line 307 ⟶ 305:
 
== Cheo katika Ngazi za Kimataifa ==
 
{| class="wikitable" border="1"
|-
Line 314 ⟶ 311:
! Nafasi
|-
| [[Heritage Foundation]] / ''[[The Wall Street Journal]]''
| [[Faharisi ya Uhuru wa Uchumi (Index of Economic Freedom)]]
| 91 juu ya 157<ref>{{Cite web |url=http://www.heritage.org/research/features/index/countries.cfm |archiveurl=http://web.archive.org/web/20080213211732/http://www.heritage.org/research/features/index/countries.cfm |archivedate=2008-02-13 |title=Heritage Foundation - 2007 Index of Economic Freedom |accessdate=2007-02-24 |work=Official Website for the Index |publisher=The Wall Street Journal and The Heritage Foundation |quote=The highest form of economic freedom provides an absolute right of property ownership, fully realised freedoms of movement for labour, capital, and goods, and an absolute absence of coercion or constraint of economic liberty beyond the extent necessary for citizens to protect and maintain liberty itself. In other words, individuals are free to work, produce, consume, and invest in any way they please, and that freedom is both protected by the state and unconstrained by the state.}}</ref>
Line 370 ⟶ 367:
{{wikiatlas|Ghana}}
 
* Tovuti ya African Activist Archive Project ina picha za mkutano wa All Africa People's Conference uliofanyika Accra, Ghana, 5-13 DisembaDesemba 1958 ikiwemo ile ya Kwame Nkrumah, Waziri Mkuu wa Ghana , akiuhutubia mkutano, ujumbe wa American Committee on Africa ukikutana na Nkrumah, na ya Patrick Duncan na Alfred Hutchinson wa Afrika Kusini katika mkutano huo.
 
; Vyombo vya habari