Abrahamu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza min:Abraham
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:Rembrandt Harmensz. van Rijn 035.jpg|thumb|right|250px|Mchoro wa [[Rembrandt]], ''Sadaka ya Isaka'', [[1635]].]]
 
'''Abrahamu''' au '''Ibrahimu''' na awali '''Abram''' (kwa [[Kiebrania]]: אַבְרָהָם He-Avraham, Avraham, ʼAḇrāhām, Avrohom au Avruhom, kwa [[Kiarabu]] إبراهيم Ibrahim) huheshimiwa katika [[Uyahudi]], [[Ukristo]] na [[Uislamu]] kama kielelezo cha mtu wa [[imani]], rafiki wa [[Mungu]]. Aliishi miaka 1800 hivi [[K.K.]] huko [[Mashariki ya Kati]].
 
== Abrahamu katika Biblia ==
 
Habari zake zinapatikana kwanza katika [[Biblia]], hasa [[kitabu cha Mwanzo]] sura 11-25, halafu zinafikiriwa katika vitabu vilivyofuata, hata [[Agano Jipya]].
 
Line 21 ⟶ 20:
Mwa 19 inatuchorea uovu wa watu ambao huko [[Sodoma]] ulizidi hata kumdai Mungu alipe kisasi. Lakini kati yao mwadilifu akaokolewa, isipokuwa mke wake akaja kuadhibiwa kwa sababu aliangalia nyuma kinyume cha agizo la Bwana (Lk 17:28-33).
 
Hatimaye Sara pia akashika mimba na kumzaa mtoto [[Isaka]].
Mwa 21:1-21 inatusimulia jinsi Mungu alivyotimiza ahadi yake kwa kumjalia Sara amzalie Abrahamu mtoto huyo katika uzee na utasa. Isaka ni mtoto wa imani, si wa mwili, naye ni huru, tofauti na Ismaeli mtoto wa mtumwa ambaye hastahili kurithi pamoja na mdogo wake. Isaka, baba wa Israeli alipata baraka kuu, naye ni mfano wetu watu wa Agano Jipya. Ismaeli alibarikiwa pia kwa ajili ya baba yake, naye ni mfano wa [[Agano la Kale]] ambapo watu wanategemea mambo ya kimwili ([[kutahiriwa]], kunawa, kubagua vyakula n.k.) na hivyo ni watumwa (Gal 4:21-5:1).
 
Line 29 ⟶ 28:
 
===Sala yake (Mwa 18:27)===
 
"Nimeshika kusema na Bwana, nami ni mavumbi na majivu tu".
 
Line 45 ⟶ 43:
|last1 = Andrews
|first1 = Stephen J.
|authorlink =
|chapter = Abraham
|editor1-last = Mills
Line 60 ⟶ 58:
|last1 = McNutt
|first1 = Paula
|authorlink =
|title = Reconstructing the Society of Ancient Israel
|year = 1999
Line 72 ⟶ 70:
|last2 = Kelle
|first2 = Brad E.
|authorlink =
|title = Biblical History and Israel's Past
|year = 2011
|publisher = Eerdmans
|url = http://books.google.com.au/books?id=Qjkz_8EMoaUC&printsec=frontcover&dq=Biblical+History+and+Israel%27s+Past&hl=en&sa=X&ei=t43IT7L8NIzJmAXoxpX-Dg&ved=0CEAQ6AEwAQ#v=onepage&q=Biblical%20History%20and%20Israel%27s%20Past&f=false
|ref = harv
Line 83 ⟶ 81:
==Viungo vya nje==
{{Commons category}}
* [http://www.britannica.com/EBchecked/topic/1544/Abraham "Abraham."] Encyclopædia Britannica Online. 29 MayMei 2011.
* [http://www.aug.edu/augusta/iconography/abraham.html "Abraham"] in ''Christian Iconography''
* [http://www.azamra.org/Earth/mount-03.html Abraham smashes the idols] Accessed 24 MarchMachi 2011
*[http://www.miamiartmuseum.org/collection-selected-segalgeorge.asp Abraham's Farewell to Ishmael. ''George Segal.'' Miami Art Museum. Collections: Recent Acquisitions.] Accessed 10 AprilAprili 2011.
*[http://www.bible-art.info/Hagar.htm Abraham, Hagar and Sarah Paintings portrayed at Bible Art.] Accessed 10 AprilAprili 2011
 
[[Jamii:Watu wa Biblia]]