Afrika Kusini : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Boti: Inarbadilisha ie:Sud Africa hadi ie:Sudafrica
d Minor fix using AWB
Mstari 33:
|population_estimate_rank = ya 26
|population_census = 44,819,278
|population_census_year = 2001
|population_density = 39
|population_densitymi² = 101 <!-- Do not remove per [[WP:MOSNUM]] -->
|population_density_rank = ya 136
|Ethnic_groups =
|Ethnic_groups_year =
|GDP_PPP_year= 2005
Mstari 50:
|established_event3 = [[Republic of South Africa|Republic]]|
|established_dates= [[31 Mei]] [[1910]]
|established_date2 = [[11 DecemberDesemba]] [[1931]]
|established_date3 = [[31 Mei]] [[1961]]|
|HDI_year = 2003
Mstari 59:
|currency_code = ZAR
|country_code = RSA
|time_zone =
|utc_offset = +2
|time_zone_DST = not observed
Mstari 83:
 
=== Milki za Waafrika na Mfecane ===
Sehemu kubwa kaskazini za rasi zilikaliwa na makabila ya Waafrika. Mnamo mwaka 1800 falme na milki zilianza kutokea hapa. Mwanzo wa karne ya 19 ni hasa [[Wazulu]] chini ya [[Shaka Zulu]] walioanza kuenea na kuwashambulia majirani katika vita za mfecane. Vita hizi zilileta uharibifu mkubwa lakini zilisababisha pia kutoeka kwa milki za Wasotho na Watswana na wengine walioiga mitindo ya Wazulu na kujenga madola yenye wezo wa Kijeshi.
 
=== Kuingia kwa Uingereza na jamhuri za Makaburu ===
Mwaka [[1814]] Koloni ya Rasi ilitwaliwa na Waingereza na kuwa sehemu ya [[Milki ya Uingereza]]. Makaburu hao walihama kwenda kaskazini wakaanzisha jamhuri ndogo kati ya maeneo ya Waafrika ama kwa njia ya mapatano nau au kwa njia ya kivita.
 
Utawala wa Kiingereza ulisababisho uhamisho wa nje wa sehemu ya Makaburu waliotokana na Wazungu kutoka Uholanzi, Ufaransa na Ujerumani; Makaburu hao walihama kwenda kaskazini wakaanzisha jamhuri ndogo kati ya maeneo ya Waafrika ama kwa njia ya mapatano nau au kwa njia ya kivita.
 
Kati ya 1840 na 1850 Waingereza waliwafuata Makaburu kwa kueneza maeneo yao hadi [[mto Oranje]]; walikamata jamhuri ya Kimakaburu ya [[Natalia]] na kuanzisha koloni mpya ya [[Natal]].
 
Jamhuri mbili za Makaburu ziliweza kustawi kwa miaka kadhaa ambazo zilikuwa jamhuri ya [[Dola Huru la Oranje]] upande wa kaskazini ya mto Oranje na jamhuri ya [[Transvaal]] (ilijiita pia Jamhuri ya Kiafrika ya Kusini) upande wa kaskazini ya [[mto Vaal]].
 
=== Waafrika, Waingereza na Makaburu waligongana ===
Milki za Kiafrika zilitafuta njia zao kati ya himaya hizi za Wazungu ambao waliokuwa na nguvu kutokana na silaha za kisasa. Wengine walitafuta uhusiano mzuri na Makaburu na kushikamana nao; wengine waliona Makaburu kama hatari wakatafuta uhusiano wa ulinzi na Waingereza. Mikataba kati ya Waingereza na milki za Kiafrika iliunda [[nchi lindwa]] zinazoendelea hadi leo kama nchi huru kama vile [[Botswana]] (Bechuanaland), [[Lesotho]] na [[Uswazi]] (Swaziland).
 
Katika miaka ya 1880 [[almasi]] na [[dhahabu]] zilipatikana kwa wingi katika jamhuri hizi na kusababisha kufika kwa wachimba madini wengi, hasa Waingereza, waliotaka kutajirika; Makaburu walisita kuwapa haki za kiraia kwa sababu waliogopa wageni wengi. Tatizo hili lilisababisha vita ya Makaburu didi ya Uingereza na jamhuri za Makaburu zilitwaliwa na jeshi la Kiingereza hadi mwaka 1902 zikawa koloni.
Mstari 105:
Baada ya [[vita kuu ya pili ya dunia]] chama cha National kilichofuata itikadi kali ilipata kura nyingi na kuchukua serikali ya Afrika Kusini. Ilianzisha mfumo wa ubaguzi wa rangi kwa jina la [[apartheid]]. Haki za wasio Waungu zilipungukiwa zaidi. Maeneo ya Kiafrika yalitangazwa kuwa nchi za pekee chini ya usimamizi wa serikali ya kizungu ya Afrika Kusini; kwa hiyo wananchi kutoka meneo haya hawakuwa tena na haki za kuchukua rufaa mbele ya mahakama walipewa vibali vya muda tu kukaa kwenye miji. Waafrika walipaswa kutemeba muda wote na pasipoti na vibali; ndoa na mapenzi kati ya watu wa rangi mablimbali zilipigwa marufuku. Shule na makazi zilitenganishwa.
 
Siasa hii ilisababisha faakano kati ya nchi nyini za dunia na Afrika Kusini. Upinzani kutoka Uingereza na Jumuiya ya Madola ulisababisha kuondoka kwa Afrika ya Kusini katika jumuiya hii na kutangazwa kwa Jamhuri ya Afrika Kusini.
 
=== Afrika Kusini mpya ===
Mstari 114:
 
Sekta muhimu za uchumi ni migodi ya kuchimba dhahabu au almasi, viwanda na huduma kama benki au bima.
 
 
== Utawala na muundo wa shirikisho ==
Line 139 ⟶ 138:
{|border="0" cellspacing="5" cellpadding="0"
! Na.
! Munisipaa au Jiji
! Wakazi (2001)
! Wakazi (1996)