Abebe Bikila : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Minor fix using AWB
d →‎Historia: Minor fix using AWB
Mstari 2:
 
== Historia ==
Abebe Bikila alizaliwa [[17 Agosti]], [[1932]] nchini Ethiopia. Alifariki [[25 Oktoba]], [[1973]] kutokana na matatizo kuvuja damu kwenye ubongo kutokana na ajali ya gari. Ajali hiyo ilikuwa mbaya kiasi cha kupooza mwili wake toka kiunoni kwenda chini.
 
Zaidi ya kuwa mwanariadha, Abebe alifanya kazi katika jeshi la walinzi wa [[Mfalme Haile Selassie]].