Michael Wamalwa Kijana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.6.4) (roboti Badiliko: en:Michael Kijana Wamalwa
d Minor fix using AWB
Mstari 2:
 
[[File:Wamalwapotr.jpg|frame|Michael Wamalwa Kijana]]
'''Michael Wamalwa Kijana''' ([[25 Novemba]], [[1944]] - [[23 Agosti]], [[2003]]) alikuwa mwanasiasa nchini Kenya na wakati wa mauti yake, alikuwa Makamu wa Rais wa [[Kenya]].
 
 
 
==Maisha Yake ya Utotoni==
Line 11 ⟶ 9:
 
Alirejea Kenya mwaka huo huo na kuanza kufundisha sheria katika [[Chuo Kikuu cha Nairobi]]. Baadhi ya wanafunzi aliofundisha walikuja wakawa washirika na wapinzani wake wa kisiasa baadaye. Katika kipindi hiki, alisimamia mashamba ya familia katika eneo la [[Kitale na]] vilevile kushikilia nyadhifa kadhaa maarufu serikalini ikiwa ni pamoja na meneja mkuu wa Kenya Stone Mining Company na mkurugenzi wa Kenya-Japan Association.
 
 
 
==Siasa==
Line 25 ⟶ 21:
Alikuwa mbunge wa eneo bunge la[[ Saboti]] katika wilaya ya Trans-Nzoia, mkoa wa Rift Valley. Mji wake wa nyumbani ulikuwa [[Kitale]].
Labda ni yeye wa kipekee katika historia ya Kenya aliyeweza kupata kura bila misingi ya kikabila.
Ailidhaniwa kuwa mwandamizi wa moja kwa moja wa Rais [[Mwai Kibaki]].
 
===Kura za mwaka wa 2002 ===
Line 31 ⟶ 27:
 
==Kudidimia kwa afya==
[[File:Wamalwawedding.jpg|thumb|right|Wamalwa na Yvonne Nambia katika harusi]]
Mwisho mwisho wa mwaka wa 2002, wakati wa kampeni za uchaguzi, Mwai Kibaki alijeruhiwa vibaya sana katika ajali ya gari na alipelekwa London kwa matibabu. Aki huko,alitembelewa na Wamalwa ambaye pia aliugua na ilibidi atibiwe kwa matatizo ya figo. Hii ilikuwa dalili ya ugonjwa zaidi kwani alikuwa mgonjwa tena katikati ya mwaka wa 2003 na kwa mara nyingine tena, alitibiwa London. Alipata nafuu kidogo na alirejea Kenya kuoa Yvonne Nambia, katika sherehe kuu.Ilisemekana kuwa yeye alioposa kwa Kiingereza cha siku za Shakespea na aliwasili kanisa katika Vintage Ford akiwa amevalia kanzu.
 
Miezi miwili tu baada ya harusi, Wamalwa alirudi katika hospitali ya [[Royal Free Hospital]] kwa uchunguzi na kupelekea kuenea uvumi kwamba afya yake ilikuwa mbaya zaidi kuliko madaktari walivokuwa wakidhani.
 
 
Hakuwahi pona. Alifariki asubuhi ya [[Agosti 23]], 2003, <ref>[0] ^ http://www.nationaudio.com/News/DailyNation/23082003/News/wamNews38.html, Kenya's vice president dies in London</ref> na baadaye kupewa mazishi ya katfika kwenye shamba lake, [[Kitale]].
 
 
Hakuwahi pona. Alifariki asubuhi ya [[Agosti 23 Agosti]], 2003, <ref>[0] ^ http://www.nationaudio.com/News/DailyNation/23082003/News/wamNews38.html, Kenya's vice president dies in London</ref> na baadaye kupewa mazishi ya katfika kwenye shamba lake, [[Kitale]].
 
==kumbukumbu.==
{{ReflistMarejeo}}
 
*Simiyu Wandiiba. Masinde muliro: A Biography (Nairobi: EAEP, 1996)
*Wekesa, Bob. The Road Not Taken: A Biography of Michael Wamalwa Kijana. (Nairobi: Oakland, 2004).
 
 
 
==Viunganish vya nje==
 
*[http://www.fordkenya.com Ford Kenya Political Party]