Paul Ereng : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d tarehe
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:paulereng1.jpeg|thumb|right|Mwanariadha bora kutoka {{flagiconFlag icon|KEN}} Kenya]]
 
== Historia ==
===Maisha ya hapo awali===
'''Paul Ereng''' (alizaliwa [[22 Agosti]], [[1966]]) ni mwanamichezo wa zamani wa [[Kenya]] na mshindi wa mbio ya 800m katika [[Olimpiki]] ya 1988 huku akiwashangaza watu.
 
Alizaliwa [[Kitale]](katika [[Wilaya ya Trans-Nzoia]]) nchini [[Kenya]], Paul Ereng alisomea [[Shule ya Upili ya Starehe]] mjini [[Nairobi]]. Yeye alikuwa anaonekana kama alikuwa bora katika mbio ya 400m hadi mwisho wa mwaka wa 1988. Baada ya kujiandikisha katika [[Chuo Kikuu cha Virginia]], Ereng alianza kukimbia mbio ya 800m,hapo mwanzo wa 1988.
 
===Maisha katika Riadha===
Ereng hakuwahi shindwa katika msimu wa [[Marekani]] wa mbio za nje katika mwanzo wa mwaka wa 1988. Yeye alishinda taji la NCAA 800 m katika miaka ya 1988 na 1989. Lakini katika majaribio ya timu ya Olimpiki ya Kenya,Ereng alihitimu kwa kidogo tu kwa kumaliza katika nafasi ya tatu. Ingawa alikuwa anakua kwa kasi sana,Ereng hakuonekana kama mshindi wa dhahabu alipowasili [[Seoul]] kwa michezo hiyo ya Olimpiki. Hata hivyo, watu walianza kumsifu na kuona umaarufu wake aliposhinda semi fainali yake na muda wa 1:44.55,uliokuwa muda wake bora wa wakati huo.
Line 11 ⟶ 13:
[[Picha:paulereng3.jpg|thumb|250px|right|Paul Ereng akishinda dhahabu katika mbio maarufu za Olimpiki ya [[Seoul]] ya 1988]]
Katika mwaka wa 1991, Ereng alishinda tena taji lake la mbio ya ndani ya ukumbi akiwa [[Seville]] lakini akawa # 4 katika Mbio ya Dunia ya Ubingwa mjini [[Tokyo]]. Ereng hakuwa tisho tena katika mbio za kimataifa baada ya hiyo na akashindwa katika semi fainali ya Olimpiki ya 1992.
 
===Masomo na kazi===
Ereng alifuzu kutoka Virginia katika mwaka wa 1993 akiwa na shahada ya digrii ya ukapera katika masomo ya kidini na shahada ndogo ya elimu ya jamii(sociolojia). Yeye anamiliki shamba la ekari 50 Kitale. Mkewe, Fatima,alikuwa mkuu wa mauzo katika Kundi la Nation Media.
Line 17 ⟶ 20:
 
== Marejeo ==
# Daily Nation, Juni 3, Juni 2000: [http://web.archive.org/web/20030428004516/http://www.nationaudio.com/News/DailyNation/03062000/Features/story2.html Bingwa bado yu hai na anafanya mambo]
# Daily Nation, Juni 3, Juni 2000:[http://web.archive.org/web/20010524042843/www.nationaudio.com/News/DailyNation/03062000/Features/story3.html Baada ya kushinda dhahabu]
 
== Viungo vya nje ==