Paul Tergat : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza uk:Пол Тергат
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:tergat1.jpg|thumb|Mwanariadha maarufu wa Kenya{{flagiconFlag icon|KEN}}]]
 
'''''Paul Kibii Tergat''''' (amezaliwa [[17 Juni]], [[1969]]) ni mwanariadha maarufu kutoka nchini [[Kenya]]. Yeye alishikilia rekodi ya riadha ya masafa marefu tangu mwaka wa 2003 hadi 2007, akiwa amekimbia kwa muda wa 2:04:55, na anaonekana kama mmoja kati ya wakimbiaji bora wa muda wote.
Katika hali ya kuzingatia mbio ya masafa marefu tu,Tergat ameshinda tuzo nyingi na kuweka rekodi kadhaa za dunia kwenye uwanja,kwenye mbio za nchi kavu na hata kwenye barabara ya lami. Alipewa jina la utani la "Gentleman",Tergat ni mtu wa kufanya bidii katika kazi zake na hujipa motisha sana. Yeye huishi na hufanya mazoezi yake ya mbio [[Ngong]],karibu na jiji la [[Nairobi]].
 
==Maisha ya awali ==
Paul Tergat alizaliwa tarehe 17 Juni, 1969 katika [[Riwo]], wilaya ya [[Baringo]] katika mkoa wa [[Bonde La Ufa]] nchini [[Kenya]].
 
== Kazi ==
Tergat alishinda tuzo ya mashindano ya [[IAAF World Cross Country]] mara tano mfululizo,1995-1999 ambayo ilkuwa rekodi. Tergat alisema, "Mbio za nchi kavu ndizo mimi nilipenda zaidi." Ilikuwa dunia yangu na kitu nilichopenda kabisa. Kabla ya [[IAAF]] kuanzisha mbio fupi mwaka wa 1998,wanariadha dunia yote wa daraja tofauti kutoka kwa 1500 hadi wa mbio za masafa marefu walikuwa katika mbio sawa."
Tergat alishinda tuzo ya mashindano ya [[IAAF World Cross Country]] mara tano mfululizo,1995-1999 ambayo ilkuwa rekodi. Tergat alisema, "Mbio za nchi kavu ndizo mimi nilipenda zaidi." Ilikuwa dunia yangu na kitu nilichopenda kabisa. Kabla ya [[IAAF]] kuanzisha mbio fupi mwaka wa 1998,wanariadha dunia yote wa daraja tofauti kutoka kwa 1500 hadi wa mbio za masafa marefu walikuwa katika mbio sawa."
 
Yeye alishinda Mashindano ya mbio ya Lisbon 2000 kwa kuweka rekodi mpya ya mbio hizo na muda bora ya kibinafsi wa 59.06,zote bado zipo hadi mwaka wa 2010. Yeye alishinda mbio hizo tena mwaka wa 2005. Mafanikio ya Tergat pia ni ushindi mara tano katika Mbio ya Barabara za Saint Silvester, mbio muhimu kabisa katika mbio za barabara za [[Amerika Kusini]]. Yeye anashikilia rekodi kwa mbio ya umbali wa kilomita 15, ambayo yeye aliiweka mwaka wa 1995. Umaarufu wake katika mbio ya Saint Silvester umempa sifa sana nchini [[Brazil]].
 
Yeye amekuwa na mashindano makali na rafiki yake [[Haile Gebrselassie]] wa [[Ethiopia]]. Katika fainali ya mbio ya Olimpiki ya 10,000m [[Olimpiki ya Atlanta]] ya 1996 na za [[Olimpiki ya Sydney]] ya 2000,alishindwa na Gebrselassie kwa muda mdogo sana. Katika mwaka wa 2000, Gebrselassie alipata ushindi kwa tusui wa sekunde tu.
 
Tergat alimaliza mbio akiwa wa pili baada ya Gebrselassie katika mwaka wa 1997 na 1999 kwa Mbio ya Mabingwa wa Dunia katika 10,000 m, na kumaliza akiwa wa tatu katika toleo la mbio hizo la 1995 nyuma ya Gebrselassie na Khalid Skah wa [[Morocco]].
 
Kwenye treki,Tergat alivunja rekodi ya dunia ya Gebrselassie katika mbio ya 10,000m tarehe 22 Agosti 1997 mjini [[Brussels]] kwa muda wa dakika 26:27.85. Rekodi hii ilivunjwa tena na Gebrselassie katika mwaka wa 1998 (kwa muda wa dakika 26:22.75), lakini muda wa Tergat unabakia kuwa rekodi nchini Kenya. Tergat akavunja rekodi ya dunia ya mbio ya nusu masafa marefu tarehe 4 Aprili 1998 mjini [[Milan]] kwa muda wa dakika 59:17. (Tergat alikuwa amewahi kukimbia kwa dakika 58:51 katika mbio ya nusu masafa marefu za Stramilano nusu marathon mwaka wa 1996, lakini pia ya kuelekeza wanariadha ilikuwa imewekwa vibaya na kuifanya kozi iwe fupi.Hivyo basi,hakuna rekodi iliyokubaliwa kutoka mbio hizo.) Rekodi yake ilipita rekodi ya dakika 59:47 iliyowekwa na Moses Tanui katika mwaka wa 1993. Rekodi yake Tergat ilivunjwa mwaka wa 2005 na Samuel Wanjiru,anayetoka Kenya pia.
Mstari 22:
===Wasifu wa Mbio===
[[Picha:tergat2.jpg|thumb|320px|right|Paul Tergat,[[Drew Barrymore]] na [[Josette Sheeran Shiner]] walipokutana na [[Condoleezza Rice]]]]
Tergat alimaliza katika nafasi ya pili katika mbio zake tatu za kwanza: mbio ya London(mwaka wa 2001 na 2002) na mbio ya Chicago(mwaka 2001). Aliendelea kukimbia mbio hizo refu na kuchukua nafasi ya nne mara mbili: mbio ya Chicago (2002) na mbio ya London (2003).
 
Yeye aliweka rekodi mpya wa muda wa 2:04:55 tarehe 28 Septemba, 2003 katika mbio ya Berlin. Hiyo ni kasi ya kilomita moja kwa dakika 0:02:57 yaani kilomita 20.3 kwa kila saa au maili moja kwa dakika 0:04:46. Katika mbio yake aliyovunja nayo rekodi ya dunia , Tergat aliumiza vibaya mguu wake. Baadaye, alisema kuwa alijisikia kama soli ya kiatu ilitoka alipokuwa akikimbia. Yeye ,pia, alipiga kona vibaya alipokuwa akikaribia mwisho wa mbio. Mwanariadha mwenzake kutoka Kenya,Sammy Korir, karibu amfikie. Korir alichukua nafasi ya pili katika muda wa 2:04:56, iliyokuwa muda wa kasi ya pili katika historia ya mbio ya aina hizo.
 
Rekodi ya dunia ya Tergat ilivunjwa katika mwaka wa 2007 na Haile Gebrselassie wa Ethiopia. Muda huo ulibaki kuwa rekodi ya Kenya hadi mwaka wa 2009,Duncan Kibet na James Kwambai(aliyechukua nafasi ya pili) walikuwa na muda wa 2:04:27 katika mbio ya Rotterdam.
 
Tergat alishinda mbio ya [[New York]] tarehe 6 Novemba 2005 alipotimua mbio kali katika mkondo wa mwisho ili kumshinda Bingwa mtetezi Hendrick Ramaala kwa muda wa 2:09:29.90 kwa 2:09:30.22.
 
Katika mbio ya [[Olimpiki ya Athens]] ya 2004, Tergat alikosa maji yake spesheli alioandaliwa na akanywa maji ambayo hutolewa na waandalizi. Yeye alikuwa amezoea kunywa maji spesheli enye joto la kawaida; waandalizi walipena maji baridi, ambayo yalimtaabisha Tergat. Alihitimu nafasi ya 10 katika mbio hizo.
Mstari 34:
Mwaka uo huo,Tergat alizindua Mbio ya nusu masafa marefu za Baringo,akiiunda njia ya mbio hizo kupita karibu na mji wake wa nyumbani.
 
Wiki moja kabla ya mbio ya [[London]] Aprili 23 Aprili 2006,Tergat alijitoa kwa kuumia misuli ya miguu. Akisema kuwa kuumia huko ni katili kwake,alilazimishwa kujitoa kwenye mbio hiyo iliyokuwa na Haile Gebrselassie. Felix Limo wa Kenya ndiye aiyeshinda mbio hiyo.
 
Marílson Gomes dos Santos alishinda mbio ya New York ya 2006;huku Tergat akimaliza akiwa nafasi ya tatu. Gomesa aliacha kikundi cha kuongoza katika maili ya 19 lakini Tergat hakumsogea.Tergat alisema baadaye, "Kusema kweli,sikujua yeye ni nani." Tergat alimkaribia Gomes kwa maili tano za mwisho lakini hakumpita.
Mstari 48:
 
=== Tuzo ===
1995
Medali ya dhahabu, [[Mbio ya Dunia ya 1995 IAAF Mabingwa]]
Line 84 ⟶ 83:
 
=== Ubora wa kibinafsi ===
"+" inamaanisha njia hiyo ilikuwa ndefu zaidi ya kawaida <br />
"a" inamaanisha njia ilikuwa kwa mteremko
Line 116 ⟶ 114:
 
== Shughuli nyingine ==
Tergat aliteuliwa kuwa "Balozi wa Kupambana na Njaa" na UN Mpango wa Chakula Duniani hapo tarehe Januari 2004. Alipokuwa mtoto, Paul Tergat familia ilikuwa maskini sana hawakuweza kumpeleka shule na chakula. Kulingana Tergat, yeye hangepata elimu kamili kama hakungekuwa na Mpango wa Chakula Duniani, ambayo ilitoa chakula cha mchana katika shule yake.
 
Line 125 ⟶ 122:
== Marejeo ==
[http://www.arrs.net/HP_LisHM.htm Washindi wa mbio ya Lisbon]
 
[http://www.youtube.com/watch?v=KD8xz1Vg6Fk Filamu ya Olimpiki ya Sydney ya 2000 YouTube]
 
Line 149 ⟶ 146:
 
== Viungo vya nje ==
[http://www.paul-tergat.net/ wakfu kwa Paul Tergat Tovuti ya kwanza kuhusu Tergat pekee yake]