Réunion : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza az:Reünyon
d Minor fix using AWB
Mstari 11:
|Jina la kawaida|| Reunion
|-
|Mji Mkuu || [[Saint-Denis (Reunion)|Saint-Denis]]
|-
|Eneo || 2,512 km²
|-
|Mkuu wa Mkoa || [[Didier Robert]]<br />([[UMP]]) (tangu [[2016]])
Mstari 19:
|Idadi ya wakazi || 706,300
|-
|Sensa ya mwaka || 1999
|-
|Wakazi kwa km² || 309
|-
|Wilaya (arrondissements) || 4
|-
|Ramani Reunion na Ufaransa bara || [[Picha:Location-Reunion-France.png|200px]]
Mstari 29:
|}
 
'''Réunion''' (Kifaransa: La Réunion) ni kisiwa cha [[Afrika]] na [[mkoa wa ng'ambo]] wa [[Ufaransa]] (kwa [[Kifaransa]]: département d'outre-mer, au DOM) katika [[Bahari Hindi]] upande wa mashariki wa [[Madagaska]]. Kisheria hali yake ni sawa na mikoa mingine ya Ufaransa hivyo ni pia sehemu ya [[Umoja wa Ulaya]].
 
== Eneo lake ==
Reunion iko 800&nbsp;km upande wa mashariki wa Madagaska. Pamoja na visiwa vya [[Mauritius]] na [[Rodrigues]] inaunda funguvisiwa ya [[Maskareni]].
Kisiwa kina eneo la 2.512&nbsp;km² kikiwa na upenyo wa 50 hadi 70&nbsp;km.
Milima mikubwa ni ya ki[[volkeno]]. Upande wa mashariki wa kisiwa ndipo mlima wa "Piton de la Fournaise" mwenye 2611 m uliolipuka zaidi ya mara 100 tangu kumbukumbu ya kimaandishi ilianzishwa mwaka 1640. Mlipuko wa mwisho hadi leo ilikuwa tar. 4.10.2005.
Mlima wa "Piton des Neiges" ndio mkubwa kisiwani ikiwa na 3070 m juu ya [[UB]].
 
== Hali ya hewa ==
Hali ya hewa ni ya joto mwaka wote. Majira ya mvua ndiyo kati ya [[DisembaDesemba]] hadi [[Machi]].
 
== Historia na Utawala ==
Taarifa za kwanza za kimaandishi hudokeza kwamba kisiwa kilikuwa bila ya wakazi.
 
[[Waarabu]] waliita "dina margabin" yaani kisiwa cha magharibi.
 
Mbaharia [[Ureno|Mreno]] Diego Dias alifika tarehe [[9 Februari]] [[1513]] ambayo ni sikukuu ya Mt. Apolonia katika mapokeo ya [[Kanisa Katoliki]] na kukiita kisiwa kwa jina la mtakatifu huyu "Santa Apolonia", jinsi inavyoonekana katika ramani za kwanza.
 
Baadaye Wareno walitumia jina la nahodha maarufu Pedro de Mascarenhas na kujumlisha visiwa vya Reunion, Mauritius na Rodrigues kwa jina la visiwa vya Maskareni. Visiwa hivi vilikuwa na umuhimu fulani kama vituo vya kupumzika katika safari kati ya [[Ulaya]] na Bara Hindi mabaharia wakitafuta maji ya kunywa, nafasi ya kutengeneza jahazi zao na kuongeza chakula. Lakini hapakuwa na makao ya kudumu kisiwani.
 
=== Utawala wa Kifaransa ===
Mwaka [[1640]] Wafaransa walivamia kisiwa na kukitangaza kuwa mali ya [[Ufaransa]]. Walikiita "Île Bourbon" kutokana na jina la familia ya wafalme wa Ufaransa.
 
Mwaka [[1665]] walowezi wa kwanza Wafaransa walianza kujenga nyumba zao.
 
Ufalme ulipoondelwa wakati wa [[mapinduzi ya Ufaransa]] kisiwa kimepewa jina jipya la Reunion tarehe [[17 Machi]] [[1793]].
 
Wakati wa vita vya [[Napoleoni]], Waingereza walivamia kisiwa mwaka [[1810]] lakini wakakirudisha kwa Wafaransa baada ya vita ([[1815]]).
[[Picha:Makarena.PNG|thumb|left|300px|Visiwa vya Makarena kati ya visiwa vya Kiafrika katika Bahari Hindi]]
 
=== Uchumi wa mashamba na watumwa ===
Walowezi Wazungu walianzisha mashamba kwa ajili ya mahitaji ya jahazi zilizopita.
 
Kuanzia mwaka [[1718]] mazao ya biashara yalilimwa, kwanza [[kahawa]] baadaye pia [[vanilla]] na hasa [[sukari]]. Kwa kusudi hilo [[watumwa]] walipelekwa Reunion kutoka Afrika bara, Bara Hindi na Madagaska.
 
Mwaka [[1768]] kisiwa kilikuwa na wakazi huru 26,284 (hasa Wafaransa) na watumwa 45,000.
 
Ufaransa ulitia sahihi maazimio ya [[Mkutano wa Vienna]] 1815 pamoja na kumaliza [[biashara ya watumwa]] lakini biashara hii iliendela kwa siri na kupanuka hasa kwa wafungwa kutoka Afrika. Idadi ya watumwa iliendela kuongezeka hadi kuondolewa hali ya utumwa tarehe 20 [[Desemba]] [[1848]].
 
Baada ya mwisho wa utumwa walowezi walitafuta wafanyakazi huko Bara Hindi wakachukua wafanyakazi Wahindi wasiofika kama watu huru kwa miaka na haki kidogo.
 
Baadaye hata wafanyakazi Wachina walichukuliwa.
 
=== Mkoa wa Ufaransa ===
Mwaka [[1946]] Reunion ilipewa cheo cha Mkoa wa Ufaransa, tangu [[1997]] imekuwa sehemu ya Umoja wa Ulaya.
 
Mkoa wa Reunion ina wilaya (Kifaransa: arrondissements) nne.
 
== Wakazi ==
Wakazi wanaonyesha historia hii katika mchanganyiko wao wa aina za watu na tamaduni kutoka pande mbalimbali wa dunia.
 
Sehemu kubwa ya wakazi ni watoto wa watumwa au wafanyakazi wasio huru wa zamani wakionyesha tabia za Wahindi, Waafrika na Wachina. Takriban robo ya wakazi ni wa asili ya Ulaya.
 
Vikundi hivi havikai mbali: kuna mchanganyiko wa kila aina. Wakazi wengi hufuata [[Ukristo]] wa Kikatoliki, wengine [[Uislamu]] na [[Uhindu]]. Kuna pia [[Waprotestanti]].
 
{{CommonscatCommons category|Réunion|Réunion}}
{{Afrika}}