Muhammadu Buhari : Tofauti kati ya masahihisho

Rais wa zamani wa Nigeria
Content deleted Content added
Muhammadu Buhari
(Hakuna tofauti)

Pitio la 15:38, 29 Oktoba 2007

Muhammadu Buhari (Amezaliwa tar. 17 Desemba, 1942) alikuwa kiongozi wa kijeshi, rais (7) wa nchini Nigeria toka 31 Desember mwaka 1983 hadi 27 Agosti mwaka 1985. Mnamo tarehe 19 Aprili ya mwaka 2003 alikuwa mgombea urais katika uchaguzi wa kitaifa lakini wa mwaka huo lakini hakuibuka kuwa mshindi. Muhammadu Buhari alitanguliwa na Shehu Shagari kisha akafuatiwa na Ibrahim Babangida.

Viungo vya Nje

http://www.buhari.org/ Tovuti Rasmi ya Muhammadu Buhari]