Kitigrinya : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Roboti: Imeongeza de, en, eo, es, eu, fa, fi, fr, he, hif, hr, hu, id, it, ja, ko, ku, kv, la, lij, lt, mk, mr, nl, nn, no, pa, pl, pms, pt, ro, ru, sk, sl, so, sv, ta, th, ti, tr, ug, uk, vi, zh; cosmetic changes
d Minor fix using AWB
Mstari 6:
|jimbo=[[Eritrea]], [[Ethiopia]]
|region=[[Eritrea]], [[Ethiopia]], especially in [[Tigray Region|Tigray]]
|speakers=6.7 million<ref>In 2005, Ethnologue estimated a total of 4.45 million Tigrinya speakers ranging over all countries; 3.2 million in Ethiopia, 1.2 million in Eritrea, 10,000 [[Beta Israel]]s in Israel (the remaining 15,000 are unaccounted for).[http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=tir] The Tigrinya ethnic group, almost entirely Tigrinya speaking{{Citation needed|date=MarchMachi 2007}}, is estimated at 3.3 million by Ethnologue, whereas other estimates indicate 4.3 million in Ethiopia ([http://www.csa.gov.et/text_files/2005_national_statistics.htm CSA 2005 National Statistics], Table B.3.), 2.4 million in Eritrea (JulyJulai 2006).[https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/er.html]</ref>
|familycolor=Afro-Asiatic
|fam2=[[Semitic languages|Semitic]]
Mstari 16:
|iso1=ti|iso2=tir|iso3=tir}}
 
'''Kitigrinya''' (pia: '''Kitigray, Kitigre, Kihabesha''') ni [[lugha ya Kisemiti]] inayozungumzwa katika [[Ethiopia]] (hasa jimbo la [[Tigray]]) na [[Eritrea]].
 
Idadi ya wasemaji ni takriban milioni 5-6. Maandishi yake ni kwa [[alfabeti ya Kiethiopia]]. Kitigrinya kimetoka katika lugha ya kale ya [[Ge'ez]] iliyokuwa lugha ya nyanda za juu za Ethiopia na hadi leo ni lugha ya liturgia katika kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia na Eritrea.
Mstari 25:
 
Lugha hii mara nyingi huchanganywa na lugha nyingine ambazo kwa namna fulani hufanana nazo hasa katika matamshi kwa mfano lugha ya [[Kitigre]] ambayo lugha hii hutumika katika maeneo ya ukanda wa chini wa Eritrea, hasa kwa upande wa Kaskazini na Magharibi mwa mjii huu ambapo lugha hii hutumika.
 
== Historia ya maandiko ==
Maandiko ya mwanzo kabisa ya lugha ya Kitigrinya yanafuata baada ya sheria za jadi zinazopatikana katika wilaya ya [[Logosarda]], yaliyapo kusini mwa Eritrea tokea mwanzoni mwa karne ya 13.<ref>{{cite web
Mstari 32:
| publisher = UCLA
| accessdate = 2006-11-10
}}</ref>
 
Katika eneo la Eritrea, wizara ya habari iliamua kuanzisha gazeti la kila wiki liandikwalo kwa lugha ya Kitigrinya lilikua likigharimu takribani senti tano na kuuza nakala zaidi ya 5,000 kila wiki. Katika kipindi hiki, gazeti hili lilifahamika kama la kipekee zaidi.
.<ref name="Ministry">Ministry of Information (1944) ''The First to be Freed—The record of British military administration in Eritrea and Somalia, 1941-1943''. London: His Majesty's Stationery Office.</ref>
 
Lugha ya Kitigrinya ikiwa ni pamoja na lugha ya [[Kiarabu]], zilikuwa moja katika ya lugha rasmi katika shirikisho lilidumu kwa muda mfupi la [[Ethiopia]] na baadae nafasi yake ilichukuliwa na lugha ya [[Kiamhari]]. Tangu kupatikana kwa uhuru wa Eritrea mwaka 1991, lugha ya Kitigrinya iliendelea kutumika kama lugha ya inayotumika zaidi nchini humo, na kuifanya nchi hiyo kuwa nchi pekee dunia kuitambua lugha ya Kitigrinya katika ngazi ya taifa.
Mstari 43:
 
Lahaja za Kitigrinya hutofautiana kimatamshi, kimaana na kimaandishi.<ref name="leslau">Leslau, Wolf (1941) ''Documents Tigrigna (Éthiopien Septentrional): Grammaire et Textes''. Paris: Librairie C. Klincksieck.</ref> Hadi sasa, hakuna lahaja ambayo imeshakubaliwa kuwa ndio maalum kwa watumiaji wa lugha hii. Hata hivyo makala haya hayana lengo la kuonesha kutowiana na lahaja hizo.
 
 
== Marejeo ==
{{reflistMarejeo}}
<!-- Dead note "voigt": Voigt, Rainer Maria (1977) ''Das Tigrinische Verbalsystem''. Berlin: D. Reimer. -->
 
Line 52 ⟶ 51:
* Amanuel Sahle (1998) {{unicode|''Säwasäsǝw Tǝgrǝñña bǝsäfiḥ''}}. Lawrencevill, NJ, USA: Red Sea Press. ISBN 1-56902-096-5
* Dan'el Täxlu Räda (1996, Eth. Cal.) ''{{unicode|Zäbänawi säwasəw kʷ'ankʷ'a Təgrəñña}}''. {{unicode|Mäx'älä}}
* Rehman, Abdel. English Tigrigna Dictionary: A Dictionary of the Tigrinya Language: (Asmara) Simon Wallenberg Press. Introduction Pages to the Tigrinya Language ISBN 1-84356-006-2
* Eritrean People's Liberation Front (1985) ''Dictionary, English-Tigrigna-Arabic''. Rome: EPLF.
* ----- (1986) ''Dictionary, Tigrigna-English, mesgebe qalat tigrinya englizenya''. Rome: EPLF.