Kanisa la Moravian Kusini Magharibi Tanzania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya Aminullah (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Kipala
d Minor fix using AWB
Mstari 6:
Viongozi wa kwanza wa Jimbo hili waliochaguliwa mwaka huohuo 1976 walikuwa ni Mchungaji [[Tulinawo Msinjili]]- Mwenyekiti, Mchungaji Yohana Wavenza- Makamu wa Mwenyekiti na Mchungaji Hezron Mwalupembe - Katibu Mkuu. Wajumbe wa Halmashauri Kuu wa Kwanza walikuwa ni Mwinjilisti L. Sikana, Mchungaji Tenson Sikaponda, Mchungaji Philip Cheyo, Ndugu Zebedayo Mkisi na Ndugu Yoram Mtemi.
 
Askofu wa kwanza [[Yohana Wavenza]] aliwekwa wakfu kuwa askofu wa jimbo hili tarehe 24 Julai 1983. Askofu wa Pili wa Jimbo hili [[Alinikisa Cheyo]] aliwekwa wakfu tarehe 12 AugustAgosti 2001 katika uwanja wa mpira Sokoine Mbeya.
 
==Utawala==
Kama majimbo yote ya kanisa la Moravian jimbo hili laongozwa na Kamati ya Utendaji inayochaguliwa na [[sinodi]] ya kanisa. Watendaji wakuu ni mwenyekiti, makamu wake na katibu mkuu. Wanatoa taarifa kwa halmashauri kuu inayochaguliwa pia na sinodi ikikutana kati ya mikutano ya ile bodi kuu. Watendaji wakuu wanasaidiana na makatibu wa idara mbalimbali wanaoteuliwa na halmashauri ya kanisa.
 
Jimbo hili tangu mwaka 2008 linaongozwa na watendaji wafuatao: Mchungaji Nosigwe Buya - Mwenyekiti, Mchungaji Zakaria Sichone - Makamu Mwenyekiti na Mchungaji Daudi Nsweve Katibu Mkuu.