Wakopti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Boti: Inarbadilisha tr:Kıptiler hadi tr:Kıptîler
d Minor fix using AWB
Mstari 6:
'''Wakopti''' ni [[Wakristo]] asili wa [[Misri]], ambao wanafuata [[madhehebu]] ya pekee katika kundi la [[Makanisa ya Kiorthodoksi ya Mashariki]] na wanaunda kundi kubwa zaidi la wakazi wasio [[Waislamu]].
 
Aina hiyo ya [[Ukristo]] ilikuwa anaongoza kabisa kati ya [[dini]] za nchi hiyo kwanzia [[karne ya 4]] hadi [[karne ya 6]] [[B.K.]], lakini baada ya [[uvamizi]] wa [[Waarabu]] ([[641]]), [[Uislamu]] ulizidi kuenea kwa njia mbalimbali<ref name="U.S. Bill Has Egypt's Copts Squirming">{{cite news | last = Ibrahim | first = Youssef M. | title= U.S. Bill Has Egypt's Copts Squirming | work= [[The New York Times]] | date=April 18, Aprili 1998 | url = http://query.nytimes.com/gst/fullpage.html?res=9E02E5DC103DF931A25757C0A96E958260&sec=&spon=&pagewanted=1| accessdate=2008-10-08}}</ref>.
 
Hata hivyo, Wakopti wanabaki asilimia 10-20 ya Wamisri wote<ref name="Christian-Muslim Gap">{{cite web | last = Cole | first = Ethan| title=Egypt's Christian-Muslim Gap Growing Bigger | publisher= [[The Christian Post]] | date=July8 8,Julai 2008 | url = http://www.christianpost.com/article/20080708/egypt-s-christian-muslim-gap-growing-bigger.htm | accessdate=2008-10-02}}</ref>, isipokuwa wanazungumza [[Kiarabu]], si [[Kikopti]] tena, ambacho kinatumika tu katika [[liturujia]].
 
Wakopti wengine wana [[ushirika kamili]] na [[Kanisa Katoliki]], na wengine tena ni [[Waprotestanti]].
 
Jina ''Kopti'' linatokana na [[Kigiriki]] Αἰγύπτιος, "Egyuptios", yaani "Mmisri".
 
Kati ya [[watakatifu]] muhimu zaidi wa Kikopti kuna [[mmonaki]] [[Antoni Abati]] na maaskofu [[Atanasi wa Aleksandria]] na [[Sirili wa Aleksandria]].
 
Mchango mkubwa zaidi walioutoa ni kuanzisha [[umonaki]] na kutetea [[umungu]] wa [[Yesu Kristo]] pamoja na usahihi wa kumuita [[Bikira Maria]] "[[Mama wa Mungu]]".
 
Kutoka Misri, Ukristo wa aina hiyo ulienea tangu zamani hasa [[Sudan]], [[Ethiopia]] na [[Eritrea]].
 
Siku hizi Wakopti wengi wanazidi kuhamia nchi nyingine, hasa za Magharibi.
 
==Tanbihi==
{{reflistMarejeo}}
 
==Marejeo==