Joshua Nkomo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Minor fix using AWB
Mstari 1:
[[Picha:200px-Jnkomo.jpg|thumb|right|250px|Joshua Nkomo.]]
 
'''Joshua Mqubuko Nyongolo Nkomo''' ([[19 Juni]], [[1917]]<ref name="bio">Jessup, John E. ''An Encyclopedic Dictionary of Conflict and Conflict Resolution, 1945-1996.'' Page 533.</ref>&ndash;[[1 Julai]], [[1999]]) alikuwa mwananisiasa, kiongozi na mwanzilishi wa chama cha Zimbabwe African People’s Union na pia ni mtu wa kabila la Kalanga<ref name="ethnicity">Hill, Geoff. ''The Battle for Zimbabwe: The Final Countdown'', 2003. Page 52.</ref> kutoka nchini [[Zimbabwe]]. Huyu alikuwa anajulikana kama baba wa [[Zimbabwe]] au katika Lugha ya Zimbabwe ‘’umdala Wethu, Umafukufuku au chibwechitedza’’ jiwe linaloteleza au (the slipery rork)
 
 
==Maisha ya awali==
Line 14 ⟶ 13:
Nkomo alimuoa Mke wala anaitwa Johanna Mafuyana tarehe 01/10/1949.
Baada ya kurudi kutoka [[Bulawayo]] mwaka 1947, alikuwa moja kati ya wapigania haki wafanyakazi wa shirika la Reli na Baadae kuwa kiongozi wa Umoja wa wafanyakazi wa Reli na baadae kuwa kiogozi wa [[African National Congress]] mwaka 1952. Mwaka 1960, alikuwa raisi wa chama cha National Democratic Part ambacho baadae kilifungiwa na serikali ya [[Rhodesia]]. Pia Nkomo amekuwa ni moja kati ya wajasiriamali matajiri zaidi katika eneo la Rhodesia.
 
 
===Mapinduzi ya Silaha===
Line 21 ⟶ 19:
 
===Jaribio la Kuuwawa===
Joshua Nkomo alikusudiwa kufanyiwa mauaji mara mbili, mara ya kwanza ikiwa ni Nchini Zambia, lakini lengo hilo halikufanikiwa lakini pia lakini majaribio ya kumuua yalindelea na baadae yalifanywa na Rhodesia Special Air Service. Katika malengo hayo yalihusha nyumba aliyokuwa akiishi, kiongozi wa jaribio hilo alijaribu kuotroka lakini alikamatwa na mlinzi wa Nkomo akiwa amenaswa katika dirisha na bafuni. <ref> Cline, Lawrence E. (2005) ''Pseudo Operations and Counterinsurgency: Lessons from other countries'', [[Strategic Studies Institute]], [http://www.blackwaterusa.com/btw2005/articles/080105counter.pthigdf read here]p.11 </ref>.
Majeshi ya ZAPU, yalifanya mambo mengi ya matumizi ya nguvua katika kuiondoa madarakani serikali ya Rhodesia. Moja kati ya mambo yanayasadikika kuwa ni ya kinyama zaidi kuwahi kutokea ni pamoja na mauaji katika ndege za abiria. Ya kwanza yalitokea tarehe 3/09/1978 na kuua watu 38, kati ya watu 56, na wengine kumi wakijeruhiwa, ikiwa ni oamoja na watoto. Waliobaki hai, walitembea kutoka kuotka eneo hilo hadi Kariba kiasi cha umbali wa kilometa 20.
Baadhi ya wasafiri walikuwa wamejeruhiwa vibaya, ,na baadhi alichukuliwa na polisi wa jeshi la Rhodesia,
Jaribio la pili lilikuwa tarehe 12/02/1979 na kuua watu 59, papo hapo, lakini malengo ya shambulizi la pili yalikuwa kwa ajili ya Peter Walls mkuu wa COMOPS (Commander Combined Operations) aliyekuwa anahusika na vifaa maalumu kama vile. [[Special Air Service]]SAS Walls alipokea tiketi ya kuondoka na ndege ya pili kutokana na idadi kubwa ya watalii, ndege ambayo iliondoka Kariba dakika 15, baada ya ndege iliyopotea. Hakuna mtu aliyeshitakiwa kwa makosa ya ndege kupotea kutokana na kutolewa kwa msamaha kutoka kwa Smith na Mugabe.
 
Line 31 ⟶ 29:
[[Picha:200px-Nkomo-ZAPU.jpg|thumb|200px|left|]]
Nkomo alianzisha chama cha National Democratic Part (NDP) , na mwaka ambao waziri Mkuu wa Uingereza bwana Harold Macmillan alipoongelea “upepo wa mabadiliko” unavuma katika Afrika [[Robert Mugabe]] aliungana nae. Chama cha NDP kilifungiwa na serikali ya kibabe ya Smith na baadae chama cha Zimbabwe African People Union ZAPU ambacho pia kilianzishwa na Joshua Nkomo pamoja na Robert Mugabe mwaka 1962, kilichua nafasi ya NDP. Lakini pia kilizuiwa mapema.
Chama cha ZAPU, kiligawanyika mwaka 1963, wakati wengine walihisi mgawanyiko huo ulikuwa ni kutokana na masuala ya Kikabila, lakini zaidi inaonesha kuwa mgawanyiko huo ulitokana na kushindwa kwa Sithole, Mugabe, Takawira na Malianga kuchukua madaraka ya ZAPU kutoka kwa Nkomo. ZAPU kikabaki chama chenye mjumuisho wa makabila mengi hadi kupatika kwa uhuru.
 
Serikali ambayo haikwa maarufu ilioyitwa Zimbabwe-Rhodesia ilioyokuwa inaongozwa na Abel Muzorewa iliundwa mwaka 1979kati ya Ian Smith na Ndabaningi Sithole’s . ZANU ambayo kwa wakati huo, ilikuwa tayari imeshagawanyika kutokana na Mambo ya kijeshi ya Mugabe. Lakini vita ilioyanzishwa na Nkomo na Mugabe viliendelea bila kupiganwa. Na Uingereza pamoja na Marekani havikuweka vikwazo katika nchi hiyo
Line 39 ⟶ 37:
==Mapinduzi ya kijeshi==
Hata baada ya kufikia lengo la kumwondoa Ian Smith na idadi kubwa ya wazungu.. bado Nkomo na Mugabe hawakuelewana. Nkomo alikuwa akijitahidi kuweka mahusiano mazuri katika vyama vyao viwili lakini Mugabe hakuwahi kuonesha ushirikiano kwani aliamini kuwa ZAPU kilikuwa na malengo ya kufanya mapinduzi na kukitoa madarakani chama cha ZANU.
Wakati [[Julius Nyerere]] alipoviita vyama hivyo viwili katika mkutano uliokusudia kurejesha mahusiano mazuri, vyama hivyo viliingia katika ofisi ya Nyerere tafauti tofauti. Kwanza alianza Nkomo na kufuatiwa na Mugabe.
Wakati Mugabe alipopewa kiti kwa ajili ya kukaa alimwambia Nyerere. "If you think I'm going to sit right where that fat bastard just sat, you'll have to think again" yaani “ kama unadhani naweza kukaa hapa na huyo mpumbavu alieakaa hapo, inabidi ufikirie tena”
Kutoka na hali hiyo, mkazo uliongezwa kati ya mahusiano yao, mapigano kati ya chama cha ZANLA na ZIPRA yaliongezeka na kuongeza kutoelewana kati ya hawa watu wawili
Line 54 ⟶ 52:
Alipoulizwa katika maisha yake, kuwa kwa nini aliruhusu haya yote yatokee, alimwambia mwana historia kuwa Eliaki Sibanda kuwa, alifanya hivyo ili kusitisha mauaji ya watu wa kabila la Ndebele (ambao walikuwa wakiunga mkono chama chake) na ya wanasiasa wa chama cha ZAPU na wanaharakati ambao walikuwa wakilengwa na vyombo vya usalama vya [[Zimbabwe]] tangu mwaka 1982, alisema “Mugabe and his Shona henchmen have always sought the extermination of the Ndebele," yaani “Mugabe na Washona wake walitaka kufanya ukatili kwa Wandebele” alisema
Nkomo amekuwa si muumini mzuri wa kanisa la kimeshenari katika sehemu kubwa ya maisha yake, alibadilisha dini na kuwa Mkatoliki Roman Catholicism mwaka 1999, muda mfupi baada ya kufariki kwa saratani ya kibofu yaani prostate cancer tarehe 01/07/1999 akiwa na umri wa mika 82, katika hospitali ya Parirenyatwa katika jimbo la [[Harare]]
 
 
===barua za Nkomo===
Line 64 ⟶ 61:
 
==Marejeo==
{{reflistMarejeo}}
*''Nkomo: The Story of My Life'', Joshua Nkomo, Nicholas Harman (Author); 1984; ISBN 0413545008,ISBN 978-0413545008, Autobiography
*''The Zimbabwe African People's Union 1961-1987: A Political History of Insurgency in Southern Rhodesia''.