John Henry Newman : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
d Minor fix using AWB
Mstari 8:
'''John Henry Newman''' ([[London]], [[Uingereza]], [[21 Februari]] [[1801]] - [[Edgbaston]], [[Birmingham]], [[11 Agosti]] [[1890]]) alikuwa [[padri]] na [[kardinali]] wa [[Kanisa Katoliki]] baada ya kuacha [[kasisi|ukasisi]] wa [[madhehebu]] ya [[Anglikana]] akiwa tayari maarufu nchini kote kutokana na mahubiri na maandishi yake.
 
Anaheshimiwa kama [[mwenye heri]], kama alivyotangazwa na [[Papa Benedikto XVI]] tarehe [[19 Septemba]] [[2010]].<ref>{{cite web |url=http://www.timesonline.co.uk/tol/news/uk/scotland/article7011733.ece#cid=OTC-RSS&attr=797084 |title=Pope to Meet Queen on Visit to Scotland |date=2 FebruaryFebruari 2010}}</ref>
 
== Maisha ==
John Henry alikuwa wa kwanza kati ya watoto 6 wa mwenye [[benki]] John Newman na Jemina Foundrinier, mwenye asili ya [[Ufaransa]].
 
Alipata [[elimu]] bora karibu na London akaathiriwa na [[mchungaji]] wa [[Kikalvini]] hata akashikilia msimamo wa [[Protestanti|Kiprotestanti]] kwa uamuzi ambao baadaye aliuita [[wongofu]] wake wa kwanza [[1816]].
Mstari 17:
Mwaka [[1817]] alijiunga na [[Trinity College]] huko [[Oxford]] akawa [[shemasi]] wa Kianglikana mwaka [[1824]].
 
Mwaka [[1828]] alifanywa [[paroko]] wa [[kanisa]] la [[chuo kikuu]] kwa jukumu la kuwachunga wanachuo; wakati huohuo alijitosa katika masomo ya [[falsafa]] na [[teolojia]].
 
Baada ya kuwa [[profesa]] wa Oxford na kasisi wa Anglikana (Church of England) mwenye mwelekeo wa Kiinjili, Newman alipata kuwa kiongozi wa [[Oxford Movement]]. Kundi hilo la Waanglikana lilikusudia kurudisha Kanisa la Uingereza kwenye [[imani]] na [[ibada]] za Kikatoliki.
Mstari 23:
Miaka 2 baada ya kuacha ukasisi na hatimaye Anglikana yenyewe, alijiunga na Kanisa Katoliki moja kwa moja ([[9 Oktoba]] [[1845]]).
 
Mwaka [[1847]] alipata [[upadirisho]] akaanzisha shirika la [[Waoratori]] mjini Birmingham.
 
Alichangia kwa kiasi kikubwa ([[1851]] - [[1858]]) uundaji wa [[Catholic University of Ireland]], ambayo leo inaitwa [[University College, Dublin]] na ni [[chuo kikuu]] kinachoshinda kwa ukubwa vingine vyote vya [[Ireland]].
Mstari 106:
 
== Tanbihi ==
{{ReflistMarejeo|2}}
 
== Marejeo ==
* {{Cite book| title=John Henry Newman: Continuum Library of Educational Thought | author=Arthur, James & Nicholls, Guy | isbn=978-0-8264-8407-9 | location=London | publisher=Continuum| year=2007 }}
* [[Edward Bellasis (officer of arms)|Bellasis, Edward]] (1892).
* [[Owen Chadwick|Chadwick, Owen]] (1987). ''The Victorian Church: Part One 1829–1859''
* Connolly, John R. (2005). ''John Henry Newman: A View of Catholic Faith for the New Millennium''. Lanham, Maryland: Rowman & Littlefield. ISBN 978-0-7425-3222-9
Mstari 133:
* [http://catholic.net/RCC/Periodicals/Igpress/CWR/CWR1096/profil.html 1996 article on the canonisation process]
* [http://www.newmanreader.org/canonization/promulgation.html Promulgation of Newman as venerable] (kwa [[Kilatini]])
* [http://www.vatican.va/holy_father/benedict_xvi/homilies/2010/documents/hf_ben-xvi_hom_20100919_beatif-newman_en.html Hotuba ya Benedikto XVI katika kumtangaza mwenye heri 19.09.2010]
 
=== Vyama vya Newman ===