Jay-Z : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d r2.7.1) (Roboti: Imeongeza jv:Jay-Z
d Minor fix using AWB
Mstari 7:
|Jina la kuzaliwa = Shawn Corey Carter
|Ndoa = [[Beyoncé Knowles]]
|Amezaliwa = {{birth date and age|1969|12|4|df=yes}}<br />[[Brooklyn, New York]], [[Marekani]]
|Kazi yake = [[Rapa]], [[mtunzi wa nyimbo]], [[mtayarishaji wa rekodi]]
|Ala = Sauti
Mstari 18:
}}
 
'''Shawn Corey Carter''' (amezaliwa tar. [[4 Desemba]], [[1969]]<ref>[http://www.imdb.com/name/nm0419650/ Jay-Z]. Internet Movie Database. Imeingizwa tar. 23 Oktoba, 2008.</ref>) ni msanii wa [[hip hop]] na mfanyabiashara kutoka nchini [[Marekani]]. Anafahamika zaidi kwa jina lake la [[jina la kisanii|kisanii]] kama '''Jay-Z'''. Huyu ni Ofisa Mkuu wa zamani wa [[Def Jam Recordings]]<ref>[http://www.pitchforkmedia.com/page/news/47700-jay-z-leaves-def-jam-presidency Pitchfork: Jay-Z Leaves Def Jam Presidency<!-- Bot generated title -->]</ref> na [[Roc-A-Fella Records]].
 
Pia ni mmoja kati ya wanaomiliki klabu ya [[The 40/40 Club]] na [[New Jersey Nets]]. Huyu ni mmoja kati ya wasanii na mjasiriamali wa hip hop wa Marekani wenye mafanikio makubwa kabisa,<ref name="mtv greatest">[http://www.mtv.com/bands/h/hip_hop_week/2006/emcees/index11.jhtml The Greatest MCs of All Time] ''MTV''. Retrieved on 2006-12-26</ref> kwa kuuza nakala zaidi ya milioni 26 nchini Marekani na kupokea [[Tuzo za Grammy]] kadhaa kwa kazi zake za kimuziki.<ref>[http://riaa.com/goldandplatinumdata.php?table=tblTopArt RIAA - Gold & Platinum - August 08, 2008<!-- Bot generated title -->]</ref>
 
Pamoja na kuwa na mafanikio yake makubwa ya kimuziki, Jay-Z anafahamika zaidi kwa kujihusisha na masuala ya ugomvi na baadhi ya wasanii wengine wa soko zima la rap, moiongoni mwa ugomvi mkubwa uliokuwa unajulikana na watu wengi duniani ni ule wa yeye na rapa mwenziwe wa mjini New York Bw. [[Nas]], ambao ulikuja kusuluishwa mnamo mwaka wa 2005.
 
Jay-Z alitoa albamu yake ya kwanza iliitwa ''[[Reasonable Doubt]]'', ilipewa sifa na ''[[Rolling Stone]]'' kama albamu #248 ikiwa kama "[[Albamu Kali 500 za Karne]]". Albamu yake iliyompa sifa zaidi ni ile ya ''[[The Blueprint]]'', iliandikwa kwa siku mbili tu, basi.<ref>Recounted by Jay-Z on the documentary ''[[Collision Course (album)|Collision Course]]'' DVD. ''Collision Course''. Jay-Z and Linkin Park. Roc-A-Fella/Warner Bros./Machine Shop Recordings. 2004.</ref>
 
Baada ya kujitangaza kwamba anastaafu muziki mnamo mwaka wa 2003, alirejea tena kazini mwishoni mwa mwaka wa 2006 na albamu yake ya ''[[Kingdom Come]]'', ambayo iliuza kopi 680,000 katika wiki ya kwanza, na kuifanya iwe albamu ya Jay-Z iliofanya mauzo ya juu katika kipindi cha wiki ya kwanza.<ref name="billboardkingdom">[http://www.billboard.com/bbcom/news/article_display.jsp?vnu_content_id=1003465594 Jay-Z Reclaims His 'Kingdom' With No. 1 Debut]. [[Billboard.com]]. Retrieved on November 29, Novemba 2006.</ref>
 
[[MTV]] wamemwita kama msanii wa kwanza katika orodha ya Ma-MC wao wa karne. Mnamo mwezi wa AprilAprili 2008, Jay-Z ameripotiwa kwenye verge kwamba ameingia ubia na [[Live Nation]] kwa kaisi cha Dola za Kimarekani zipatazo milioni 150—ambapo ni miongoni mwa mikataba mikubwa sana na ghari kwa wasanii wambo waliowahi kuungana nao.<ref>{{cite news |first=Jeff |last=Leeds |authorlink= |coauthors= |title=In Rapper’s Deal, a New Model for Music Business |url=http://www.nytimes.com/2008/04/03/arts/music/03jayz.html |work=New York Times |publisher= |date=2008-04-03 |accessdate=2008-04-03 }}</ref>
 
Carter amemwoa Bi. [[Beyoncé Knowles]] mnamo tar. [[4 Aprili]], 2008.<ref>[http://www.people.com/people/article/0,,20188764,00.html Source: Beyoncé and Jay-Z Are Married<!--bot generated article -->]</ref>
 
== Wasifu ==
=== Maisha ya awali ===
 
== Discografia ==
{{main|Discografia ya Jay-Z}}
Line 91 ⟶ 90:
 
== Marejeo ==
{{marejeoMarejeo}}
 
== Viungo vya Nje ==